Hakuna wa kuyatabiri maisha ya Mainda.

Wewe maisha yako vipi?
 
Dada wa kitambo sana toka nipo primary alikua anavutia sana kipind kile na lulu alikua kijidogooo leo hii wanaonekana kama umri sawa na lulu[emoji2] [emoji2] kwel huyu dada ni ki model
 
Kuna movie kanumba alikuwa na ukimwi alimpa mistari mainda akaeleweka.Kwa ile mistari hakuna mwanamke wa kukugomea asee Labda pesa iwe kikwazo.mimi nimewagegeda wengi sana kwa iyo mistari
Kanumba alizungushwa sana hadi aje amkubalie, kila akimtokea hom kwake anakutana na kaka yake Maindi, mchizi anajabu kumsukumiza kwa Kanumba,

Mwisho Mainda akaja akamwelewa ila kanumba akakataa kumgonga.. Au siyo hiyo
 
Hiyo hiyo man nimewagegedea wengi sana na iyoo mistari
 
Kanumba alizungushwa sana hadi aje amkubalie, kila akimtokea hom kwake anakutana na kaka yake Maindi, mchizi anajabu kumsukumiza kwa Kanumba,

Mwisho Mainda akaja akamwelewa ila kanumba akakataa kumgonga.. Au siyo hiyo
Wakati huo Kanumba alishatongozwa wee amemkatalia dada wa watu keshamove on ndo anarudi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…