Hakuna watu walikuwa na majivuno kama waliomiliki hiki kifaa

Waliokuwa navyo wengi walikuwa watoto wa bwana shamba,mwenyekiti wa kijiji au kule mjini mtoto wa afisa anaefanya kazi bomani (halmashauri etc)
father alikuwa katibu wa kijiji hapo nipo standard seven ila nilikuwa clever vibaya ila sijisifii
 
Mi nilivizia ka mmoja nikapita nacho
Waliokuwa wezi wa peni na vitu vingine class ikiwemo hii nk wengi wao waliishia kuwa mafisadi papa na majambawazi hope hukufika kwenye fani hizi
 
Ha ha haa, nilinyolewa nywele kwa mkasi, kisa hela nimenunua hako kadude.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…