kajamaa kadogo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2018
- 2,707
- 6,437
father alikuwa katibu wa kijiji hapo nipo standard seven ila nilikuwa clever vibaya ila sijisifiiWaliokuwa navyo wengi walikuwa watoto wa bwana shamba,mwenyekiti wa kijiji au kule mjini mtoto wa afisa anaefanya kazi bomani (halmashauri etc)