Wadada waliosoma wenye degree, wanavaa mawani na wameajiriwa then ukute anamiliki ka-spacio au ka-vitz.......
Kuna mtu anasema Hawa wanaringa utadhani motoni watachomwa na oven.......
Wacha walinge na elimu zao walizisoteaWadada waliosoma wenye degree, wanavaa mawani na wameajiriwa then ukute anamiliki ka-spacio au ka-vitz.......
Kuna mtu anasema Hawa wanaringa utadhani motoni watachomwa na oven.......
wale walio oa au kuolewa hivi karibuni..yaani kama mwezi hivi1.wanaopata first class chuo kikuu
2.wanaopewa bia za ofaa
3.wanakula chips mayai na mishikaki na soda
4.wanaokula kiti moto
Haya endeleeni
Sent using Jamii Forums mobile app
π π π π πWale wenye makava ya simu yenye masikio makubwa.