Hakuna watu wanajiona wamefanikiwa kama wale

Hakuna watu wanajiona wamefanikiwa kama wale

Wanaotumia iPhone 11 pro wenyewe wanaita macho matatu
 
Wadada waliosoma wenye degree, wanavaa mawani na wameajiriwa then ukute anamiliki ka-spacio au ka-vitz.......

Kuna mtu anasema Hawa wanaringa utadhani motoni watachomwa na oven.......
Wacha walinge na elimu zao walizisotea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom