round kick
JF-Expert Member
- Feb 3, 2025
- 345
- 1,145
Na siku hizi wamekuja tofauti, zamani unatumiwa ujumbe moja kwa moja, sikuhizi utatumiwa meseji habari yako, hellow, vipi, n.k.
Unaweza kudhani ni mtu mnafahamiana labda huna namba yake, unamjibu kwa heshima ghafla unatumiwa meseji "Samahani naitwa fulani nilikuwa naomba urafiki naomba unisevu na mimi nikusave"