Hakuna Watu Wanaojiona Maisha Wameyapatia Kama Hawa

Kingsmann

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2018
Posts
4,805
Reaction score
17,850
[emoji419]Hakuna Watu Wanaojiona Maisha Wameyapatia Kama Wale Watu Ambao Wanaokaa Kwenye Viti Virefu Vya Pale Kaunta Vya Bar /Club Wakinywa Pombe.[emoji3]

[emoji419]Hakuna Watu Wanaojiona Maisha Wameyapatia Kama Wale Wanaovaa Kibukta na Sendozi.[emoji23]

[emoji419]Hakuna Watu Wanaojiona Maisha Wameyapatia Kama Wale Waliopata Siti Kwenye Mwendokasi.[emoji23]

[emoji419]Hakuna Watu Wanaojiona Maisha Wameyapatia Kama Wale Wenye Vi-Baby Walker Barabarani.[emoji23]

[emoji419]Hakuna Watu Wanaojiona Maisha Wameyapatia Kama Bodaboda na Bajaji Wakati wa Foleni Kubwa.[emoji23]

[emoji419]Hakuna Watu Wanaojiona Maisha Wameyapatia Kama Wale Ambao Hawana Supplimentary za Mitihani.[emoji23]

[emoji419]Hakuna Watu Wanaojiona Maisha Wameyapatia Kama Yule Konda wa Daladala Ilojaza Mpaka Mlangoni.[emoji23]

[emoji419]HAKUNA.
 
hakuna watu wanajiona wameyapatia maisha kama wale walomtumia demu nauli na akaja kweli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…