interlacustrineregion
JF-Expert Member
- Oct 28, 2018
- 7,134
- 7,395
Kwamba wanajiamini sana kuliko wenye flat screen, Wanawake wafanyakazi na waliosoma? [emoji4]Hakuna watu wanajiona maisha wameyapatia kama wanawake wenye chura
Mwanamke mwenye chura anajiamini kuliko mwenye degreeKwamba wanajiamini sana kuliko wenye flat screen, Wanawake wafanyakazi na waliosoma? [emoji4]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Hakuna watu wanajiona maisha wameyapatia kama wanawake wenye chura
Hao ni kweli wameyapatiaHakuna watu wanajiona wamepatia maisha kama wale walioitwa kwenye interview baadae wakapigiwa simu kua waende kuanza kazi.
interesting...
Duuh nani kakuibua kutoka mafichoni...!!?
Upo mrembo?
[emoji23][emoji23][emoji23]Hivi hii issue mtakuja kuisahau kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] halafu demu akaachwa na 7800[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Na wakati mikoba wanayo (wanawake) na mifuko ya suruali au pensi wanayo!, hii umewapatia kweli aisee!Hakuna watu hua wanajiona maisha wameyapatia kama wale wanaotembea na funguo za gari mkononi kwenye Malls.
Hata wewe ulipotea sana!The boss umerudi[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji16]interesting!!!
[emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Japo ana tisheti ya Kizalendo kabisa.
Hao kweli wameyapatiaa hilo halina ubishiHakuna watu wanajiona maisha wameyapatia kama wanawake wenye chura