Hakuna Watu Wanaojiona Maisha Wameyapatia Kama Hawa

Hakuna watu wanajiona maisha wameyapatia kama wadada wanaotembea na funguo za gari mkononi wakiwa wamezininginiza
Hakuna wstu wanajiona wamepatia maisha kama wale waliotoa

Blue ticks whatsapp

Hafu kuna wale hawawekagi profile picture
Hakuna watu hua wanajiona maisha wameyapatia kama wale wanaotembea na funguo za gari mkononi kwenye Malls.
Hakuna watu wanaojiona wameyapatia maisha kama wale wanaochanganya lugha ya Kiswahili na Kiingereza wakati wa kuongea.
Kuna wale wakiingia JF wanakuta Notification zaidi ya 20 na Unread Message kama 3. Hua wanajiona wanabreath Fravoured Oxygen
Hakuna watu wanajiona wamepatia maisha kama Slay queens wa Tips Kidimbwi akiwa na chupa ya Hennessy au Jameson mezani.
Wanaotumia iPhone wanajiona matajiri na wasomi
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji1787]
 
Hakuna watu wanajiona maisha wameyapatia kama wale wanaomilik gari uswahilini
 
Hakuna watu wanaojiona maisha wameyapatia kama watu wanaotumia simu za IPhone
 
Hakuna Wanaona Wameyapatia Kama Wale Wanaotumia IPhone Na Wameangalia Game Of Thrones

Ha ha ha, yaani ofisini niliko kuna watu wana iMac na iPhone, huku wengine tuna HP na Techno, eti ikiulizwa umeona wapi simu yangu? Maana yake ni hizi zingine, siyo iPhone, iPhone ni iPhone siyo simu.
 
Hakuna watu wanaojiona wameyapatia maisha kama wale waliopata teuzi za Magu hasa ma RC.
 
Hakuna walioona wameyapatia kama waliotoa bikra nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…