Hakuna Watu Wanaojiona Maisha Wameyapatia Kama Hawa

Hakuna Watu Wanaojiona Maisha Wameyapatia Kama Hawa

Siyo wewe mwenyewe, hata mimi nazikodolea macho pia.
Nilitaka kuuliza swali kama lako lakini nikajizuwia. Akikujibu nitag mkuu naziangalia sana hizo lips wallahi


Ndukiiiii [emoji2089][emoji2089][emoji2089]
 
Hahaa haa nyinyi ndo wale mtu akifa unasikia 'ohh alikuwa handsome na anafaa mno kwa matumizi'

wakati mtu yupo hai hata salaam huitiki
We subiri waletee taarifa za kifo uone vile nitakusifia na kukumiss.
Kwasasa hata sijakumiss.
 
Back
Top Bottom