Hakuna watu wanaotia huruma kama wale ambao

Hakuna watu wanaotia huruma kama wale ambao

Kifaru86

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2017
Posts
1,734
Reaction score
3,822
Hakuna watu wanaotia huruma kama wale ambao ....

1.kipindi wana ajira walikuwa wanawaona wasio na ajira wamebweteka sasa hivi na wao wapo kitaa

2.wenye tabia za unoko unoko za kuchongea wenzao kipindi wakiwa makazini saivi wameshastaafu na hawana connection

3.kipindi wana fedha au madaraka walikuwa wanatukana sana watu saivi hawana Kitu

4.watu waliokuwa wanawaponda waliopata zero na four wenyewe wakapata one na two mpka Leo hii bado hawajatoboa katika maisha alafu wenzao wametoka kimaisha

Haya endeleeeni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom