Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Aiseee yahitaji moyoWatafanyaje sasa na hawana kwa kukimbilia.
Hajatumia yale masaa 48 aliyopewa na ikulu?Sio watumishi wote wanaokubali upuuzi huo wa kudhalilishwa, hao wanasiasa hukutana na vichwa sema media huwa zinawasitiri.
Mzee Agrey Mwandri akiwa RC kuna siku alikanya waya akiwa ziara zake za kikazi, aliambiwa; "Usinitishe, Usinitishe, Usinitishe". Akawa mpole tu siku hiyo.
Ni fare allowance.Sandali Ali fear allowance ikoje na watumishi wa category gani wanalipwa hii fear allowance huko serikali za mitaa?
Jamaa wananyanyaswa sana. Ila ndo nature ya duniaHujawahi ingia ndani ya anga zao
Kumbe wanavumilia mengi ili wapige mengi. SawaSawa. Lakini pia ni wapigaji wazuri. Ukiingia kwenye anga zao lazima walambe kidogodogo. Wana njaa kali kama chokoraa wa Nairobi.
Mtu mmoja anakuwa na mabosi hata kumiKwakweli ni balaaa kwenye huo Msuruu hujawataja Viongozi wa Ngazi ya VYAMA VYA SIASA WILAYA NA MKOA, Viongozi wa Vyombo vya Ulinzi Mkoa na Wilaya, Wakuuu wa Taaasisi za Umma Mkoa na Wilaya, Bado Wakuu wa Seksheni na Idara kwakweli ni msururuuuuu wa hatari.
Kwakweli ni balaaa kwenye huo Msuruu hujawataja Viongozi wa Ngazi ya VYAMA VYA SIASA WILAYA NA MKOA, Viongozi wa Vyombo vya Ulinzi Mkoa na Wilaya, Wakuuu wa Taaasisi za Umma Mkoa na Wilaya, Bado Wakuu wa Seksheni na Idara kwakweli ni msururuuuuu wa hatari.
Madiwani nasikia wamekuwa zaidi ya malaika huko wilayani!!Na kwa Halmashauri usiwasahau madiwazi,wengi ni vichomi mno
May beWanaojipendekeza ndio hupigwa mikwara, wengine hatukamatiki