Tangantika
JF-Expert Member
- Aug 12, 2018
- 5,806
- 7,424
Bora yako.Kuna watu washajikatia tamaa ya kuhama.Siku hizi kuhama ni bahati ya mtende,wafanyakazi wanamateso makubwa sana.Nilimpiga tafu rafiki yangu mmoja mwalimu ahame Tanga to Pwani mchakato ulikuwa mgumu sana. Ila alihama baada ya miezi kama 5 hivi.
Mambo ya hovyo sana