Hakuna watu wavumilivu kama waajiriwa walio chini ya TAMISEMI

Mmh kama watendaji wa vijiji/mtaa na wakata wanaropokewa balaa yani utadhani watoto.
 
Kwenye list umesahau baraza la madiwani
 
Umesahau madiwani vilaza kutoka chama cha mapinduzi hawa ni zaidi ya mwimba aisee nuksi sana hawa kima
 
Umesahau madiwani vilaza kutoka chama cha mapinduzi yani hawa kima ni balaaa wanauwezo wa kumjambia engineer mtaalamu mpaka akachanganyikiwa
 
Akina waitara na kundi lake wamefuta mpaka uhamisho eti wafanyakazu wanadanganya.Local gov ni hovyo.Ila nilifikiri na we we umejiajiri kumbe unazungumzua posho na virushwa rushwa.Vikuzibwa tu hoi.
 
Akina waitara na kundi lake wamefuta mpaka uhamisho eti wafanyakazu wanadanganya.Local gov ni hovyo.Ila nilifikiri na we we umejiajiri kumbe unazungumzua posho na virushwa rushwa.Vikuzibwa tu hoi.
Hivi yule Chapombe Waitara harakati zake za kugombea Tarime kule zinaendeleaje?
 
Hivi yule Chapombe Waitara harakati zake za kugombea Tarime kule zinaendeleaje?
Ngoja tusubiri kama akina mural watamrudisha.Ubunge huwa mgumu sana ngazi ya kura maoni.Hapi wanasiasa huwa wembamba kama sindano.Hivi MTU umezuia watu wasihame vituo kwa mujibu wa sheria kisha unaenda kuwaomba wakuchague.Wakikuchagua tena basis akili wanakuwahawana
 
Nilimpiga tafu rafiki yangu mmoja mwalimu ahame Tanga to Pwani mchakato ulikuwa mgumu sana. Ila alihama baada ya miezi kama 5 hivi.
Mambo ya hovyo sana
 
kama wao wananyanyaswa sana je kuruta wa jeshi atasemaje?
Yale mambo ya kuoneana jeshini nahisi yako huku tu Afrika.
Kuna utofauti kati ya mafunzo magumu na mateso.
Mimi binafsi nimepiga kaozi mbili za ukakamavu but nilichogundua ni kwamba mateso mengine jeshini husababishwa na roho mbaya za Kiafrika tu.
Leo sisi tunaanzisha debate kuhusu athari za fimbo mashuleni ilhali wenzetu ng'ambo washasahau mambo ya fimbo school.
Teacher wangu wa mathematics O- Level mmarekani adhabu kwa waliofeli hesabu ni mchakamchaka pamoja na yeye mwenyewe
 
Local government sasahivi watumishi hawatumii utaalamu wao bali ni maelekezo ya wanasiasa...wanasiasa wenyewe ni levo za kina kibajaji..hopless kabisa.

#MaendeleoHayanaChama
 
Yaani ukiwa chini ya TAMISEMI, huta acha kumsifia mzee Mwamwindi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…