Kuna diwani alinikuta kitaa akaniita kisha akanituma utopolo flani nikamwambia 'acha upumbavu' hiyo kesi ilikuwa kubwa Hadi Kwa DC ambae nilimwambia asidhalilishe u-DC wake Kwa kupokea na kuusikiliza ujinga wa diwani.
Kiukweli watumishi tuliopo TAMISEMII usipokuwa makini na kwamba unanyemelea kuteuliwa sijui kuwa nani hakika waweza jambiwa na ukatangaza kuwa ni perfume mwisho watumishi wenzangu walinishangaa Sana kitendo cha kumbishia DC pamoja diwani.