Hakuna watu wenye roho mbaya kama wanaotafuta vyeo makazini!

litwangilo

New Member
Joined
Sep 5, 2025
Posts
2
Reaction score
9
Jamani, labda ni mimi tu, lakini nimeshaona mara nyingi — hakuna roho mbaya kama za watu wanaotafuta vyeo makazini. 😅

Ukiwa nao ofisini, kila siku ni siasa, fitina, na “kujisafisha” mbele ya wakubwa.

Wanajifanya wasafi, wanatengeneza “connections” huku wanapandikiza chuki taratibu dhidi ya wale wanaowaona kama tishio hasa wanaowazidi uwezo kazini.

Ukiwa na uwezo au kipaji, basi wewe tayari ni adui wa ndani. Watakupaka matope, watatafuta kosa lako dogo sana walifanye headline ya wiki nzima.

Na cha kushangaza, hawa watu huwa hawachoki! Wanaweza kuishi miaka mingi wakipanga mikakati ya “kupanda ngazi,” na mara nyingi lengo sio kuinufaisha taasisi au wakati mwingine hata kujinufaisha wao kimapato kwa mshahara mnono, ila tu wawakomeshe watesi wao kazini!

Unakuta mtu analalamikia mwenzake mbele ya boss, anajifanya mnyenyekevu, kumbe nyuma anachoma mawasiliano yako yote. Ukipata sifa kidogo tu, basi wanapandwa na homa ya roho mbaya. 😩 Ukiteuliwa ufanye kazi fulani kwa niaba ya mkuu wako wa kazi wanaweza wakuchoma na singe kabisa kama wangeweza!

Najua si kila anayetafuta cheo ni mbaya, lakini wengi wanafikia hatua ya kuharibu watu, ofisi na hata marafiki, eti mradi tu apate kiti!

Mtu mzima anasahau utu, akiona nafasi, anageuka kama simba mwenye njaa.

Hivi jamani, kwa nini watu wasiamini kuwa vyeo vinakuja kwa muda, jitihada, na neema ya Mungu — si lazima utumie hila, uongo na unafiki?

Wengine wameshaishi ofisini kama kwenye kampeni za uchaguzi — kila siku ni kuomba kura za boss bila kufanya kazi.

Swali kwa wanaJF:
  • Wewe umewahi kushuhudia namna hii ya tabia kazini?
  • Unadhani tatizo ni mfumo wa kazi, au ni hulka ya binadamu mwenyewe?
  • Na tufanyeje kuondoa hii sumu ya “roho za kwanini” sehemu za kazi?

Karibuni tujadili, lakini kwa hoja, sio hasira. 😅 Pia unaweza kuvote hapo JF matakwimu wapate mtazamo.
 
Hayo yanawezekana tu sehemu ambayo sio taasisi imara au haina uongozi imara,

Taasisi ikiwa hivyo au kuendeshwa na watu wa aina hiyo basi haiwezi kuendelea,itajikuta ipo pale pale tu au itaporomoka coz itajikuta inawapa majukumu watu ambao hawana sifa za kupewa majukumu hayo,

Sehemu ya kazi yenye uongozi imara,haiwezi kutegemea maneno ya kinafiki au fitina toka kwa mtu ili kufanya mabadiliko au katika kujiendesha kwake.
 
Jamani, labda ni mimi tu, lakini nimeshaona mara nyingi — hakuna roho mbaya kama za watu wanaotafuta vyeo makazini. 😅

Ukiwa nao ofisini, kila siku ni siasa, fitina, na “kujisafisha” mbele ya wakubwa.

Wanajifanya wasafi, wanatengeneza “connections” huku wanapandikiza chuki taratibu dhidi ya wale wanaowaona kama tishio hasa wanaowazidi uwezo kazini.

Ukiwa na uwezo au kipaji, basi wewe tayari ni adui wa ndani. Watakupaka matope, watatafuta kosa lako dogo sana walifanye headline ya wiki nzima.

Na cha kushangaza, hawa watu huwa hawachoki! Wanaweza kuishi miaka mingi wakipanga mikakati ya “kupanda ngazi,” na mara nyingi lengo sio kuinufaisha taasisi au wakati mwingine hata kujinufaisha wao kimapato kwa mshahara mnono, ila tu wawakomeshe watesi wao kazini!

Unakuta mtu analalamikia mwenzake mbele ya boss, anajifanya mnyenyekevu, kumbe nyuma anachoma mawasiliano yako yote. Ukipata sifa kidogo tu, basi wanapandwa na homa ya roho mbaya. 😩 Ukiteuliwa ufanye kazi fulani kwa niaba ya mkuu wako wa kazi wanaweza wakuchoma na singe kabisa kama wangeweza!

Najua si kila anayetafuta cheo ni mbaya, lakini wengi wanafikia hatua ya kuharibu watu, ofisi na hata marafiki, eti mradi tu apate kiti!

Mtu mzima anasahau utu, akiona nafasi, anageuka kama simba mwenye njaa.

Hivi jamani, kwa nini watu wasiamini kuwa vyeo vinakuja kwa muda, jitihada, na neema ya Mungu — si lazima utumie hila, uongo na unafiki?

Wengine wameshaishi ofisini kama kwenye kampeni za uchaguzi — kila siku ni kuomba kura za boss bila kufanya kazi.

Swali kwa wanaJF:
  • Wewe umewahi kushuhudia namna hii ya tabia kazini?
  • Unadhani tatizo ni mfumo wa kazi, au ni hulka ya binadamu mwenyewe?
  • Na tufanyeje kuondoa hii sumu ya “roho za kwanini” sehemu za kazi?

Karibuni tujadili, lakini kwa hoja, sio hasira. 😅 Pia unaweza kuvote hapo JF matakwimu wapate mtazamo.
Je vipi wale wa siasani?
 
Office politics.
 
kuna watu wanaua tu huko ili wapandishwe cheo huko geshi ra porishi
 
Dah ushirikina jamani😒
 
Simama katika kile unaamini haki yako kama ipo tu , inacheleweshwa tu, siku zote wanaojipendekeza huwa ni wale ambao hawana uwezo
 
Boss, kiongozi unapopewa taarifa hupaswi kwenda kwa pupa, la sivyo uta waumiza walio chini Yako kimakosa.

Ukweli na uwazi makazini humuweka adui uchi wa mnyama
 
Kuna watu wawili nawafahamu walikuwa wanafanya hivyo walikuwa ni watu wa kupiga storry na maboss,kuchomea wenzao wafukuzwe,na kujali maslahi Yao Pekee mmoja kafukuzwa,mwingine kashushwa cheo.Roho mbaya haimsaidii mtu ni kama kujenga mango mbovu kwenye mchanga one day nyumba itaanguka
 
Tangu nianze business sijawahi kukaa ofisini na circle ya wapumbavu wa aina hiyo saa moja na nusu nipo ofisini saa kumi kamili nipo kwenye business siamini katika kulambalamba matako ndo mtu apate safari au posho, ukiniona utadhani mkuu wa taasisi😀 exposure muhimu wazee ofisi zimejaa uchawi, wivu, chuki, uzandiki nk find your own culture
 
Kwa hyo kazini huna story na mtu mkuu.
 
Kwa hyo kazini huna story na mtu mkuu.
Sina kabisa mkuu mi nafanya kazi tu na hiyo imeniepusha na mengi

Inagine mtu anakuchawia , kuchongea na kunafikia lakini hana maendeleo yoyote ananuka shida tu mvi zinawatoka kabla ya muda, vitambi havina ushirikiano wanaenda safari wanarudi wanatukuta tuna SHINE gari zimejaa mafuta

Gademiti
 
Tangu nianze business sijawahi kukaa ofisini na circle ya wapumbavu wa aina hiyo saa moja na nusu nipo ofisini saa kumi kamili nipo kwenye business siamini katika kulambalamba matako ndo mtu apate safari au posho, ukiniona utadhani mkuu wa taasisi😀 exposure muhimu wazee ofisi zimejaa uchawi, wivu, chuki, uzandiki nk find your own culture
Hii nzuri
 
Sina kabisa mkuu mi nafanya kazi tu na hiyo imeniepusha na mengi

Inagine mtu anakuchawia , kuchongea na kunafikia lakini hana maendeleo yoyote ananuka shida tu mvi zinawatoka kabla ya muda, vitambi havina ushirikiano wanaenda safari wanarudi wanatukuta tuna SHINE gari zimejaa mafuta

Gademiti
Hii ni life style nzuri mkuu.. itabidi niicopy..vip hawakuoni kama unawatenga?
 
Back
Top Bottom