litwangilo
New Member
- Sep 5, 2025
- 2
- 9
Je vipi wale wa siasani?Jamani, labda ni mimi tu, lakini nimeshaona mara nyingi — hakuna roho mbaya kama za watu wanaotafuta vyeo makazini. 😅
Ukiwa nao ofisini, kila siku ni siasa, fitina, na “kujisafisha” mbele ya wakubwa.
Wanajifanya wasafi, wanatengeneza “connections” huku wanapandikiza chuki taratibu dhidi ya wale wanaowaona kama tishio hasa wanaowazidi uwezo kazini.
Ukiwa na uwezo au kipaji, basi wewe tayari ni adui wa ndani. Watakupaka matope, watatafuta kosa lako dogo sana walifanye headline ya wiki nzima.
Na cha kushangaza, hawa watu huwa hawachoki! Wanaweza kuishi miaka mingi wakipanga mikakati ya “kupanda ngazi,” na mara nyingi lengo sio kuinufaisha taasisi au wakati mwingine hata kujinufaisha wao kimapato kwa mshahara mnono, ila tu wawakomeshe watesi wao kazini!
Unakuta mtu analalamikia mwenzake mbele ya boss, anajifanya mnyenyekevu, kumbe nyuma anachoma mawasiliano yako yote. Ukipata sifa kidogo tu, basi wanapandwa na homa ya roho mbaya. 😩 Ukiteuliwa ufanye kazi fulani kwa niaba ya mkuu wako wa kazi wanaweza wakuchoma na singe kabisa kama wangeweza!
Najua si kila anayetafuta cheo ni mbaya, lakini wengi wanafikia hatua ya kuharibu watu, ofisi na hata marafiki, eti mradi tu apate kiti!
Mtu mzima anasahau utu, akiona nafasi, anageuka kama simba mwenye njaa.
Hivi jamani, kwa nini watu wasiamini kuwa vyeo vinakuja kwa muda, jitihada, na neema ya Mungu — si lazima utumie hila, uongo na unafiki?
Wengine wameshaishi ofisini kama kwenye kampeni za uchaguzi — kila siku ni kuomba kura za boss bila kufanya kazi.
Swali kwa wanaJF:
- Wewe umewahi kushuhudia namna hii ya tabia kazini?
- Unadhani tatizo ni mfumo wa kazi, au ni hulka ya binadamu mwenyewe?
- Na tufanyeje kuondoa hii sumu ya “roho za kwanini” sehemu za kazi?
Karibuni tujadili, lakini kwa hoja, sio hasira. 😅 Pia unaweza kuvote hapo JF matakwimu wapate mtazamo.
Office politics.Jamani, labda ni mimi tu, lakini nimeshaona mara nyingi — hakuna roho mbaya kama za watu wanaotafuta vyeo makazini. 😅

Dah ushirikina jamani😒Jamani, labda ni mimi tu, lakini nimeshaona mara nyingi — hakuna roho mbaya kama za watu wanaotafuta vyeo makazini. 😅

Simama katika kile unaamini haki yako kama ipo tu , inacheleweshwa tu, siku zote wanaojipendekeza huwa ni wale ambao hawana uwezoJamani, labda ni mimi tu, lakini nimeshaona mara nyingi — hakuna roho mbaya kama za watu wanaotafuta vyeo makazini. 😅
Ukiwa nao ofisini, kila siku ni siasa, fitina, na “kujisafisha” mbele ya wakubwa.
Wanajifanya wasafi, wanatengeneza “connections” huku wanapandikiza chuki taratibu dhidi ya wale wanaowaona kama tishio hasa wanaowazidi uwezo kazini.
Ukiwa na uwezo au kipaji, basi wewe tayari ni adui wa ndani. Watakupaka matope, watatafuta kosa lako dogo sana walifanye headline ya wiki nzima.
Na cha kushangaza, hawa watu huwa hawachoki! Wanaweza kuishi miaka mingi wakipanga mikakati ya “kupanda ngazi,” na mara nyingi lengo sio kuinufaisha taasisi au wakati mwingine hata kujinufaisha wao kimapato kwa mshahara mnono, ila tu wawakomeshe watesi wao kazini!
Unakuta mtu analalamikia mwenzake mbele ya boss, anajifanya mnyenyekevu, kumbe nyuma anachoma mawasiliano yako yote. Ukipata sifa kidogo tu, basi wanapandwa na homa ya roho mbaya. 😩 Ukiteuliwa ufanye kazi fulani kwa niaba ya mkuu wako wa kazi wanaweza wakuchoma na singe kabisa kama wangeweza!
Najua si kila anayetafuta cheo ni mbaya, lakini wengi wanafikia hatua ya kuharibu watu, ofisi na hata marafiki, eti mradi tu apate kiti!
Mtu mzima anasahau utu, akiona nafasi, anageuka kama simba mwenye njaa.
Hivi jamani, kwa nini watu wasiamini kuwa vyeo vinakuja kwa muda, jitihada, na neema ya Mungu — si lazima utumie hila, uongo na unafiki?
Wengine wameshaishi ofisini kama kwenye kampeni za uchaguzi — kila siku ni kuomba kura za boss bila kufanya kazi.
Swali kwa wanaJF:
- Wewe umewahi kushuhudia namna hii ya tabia kazini?
- Unadhani tatizo ni mfumo wa kazi, au ni hulka ya binadamu mwenyewe?
- Na tufanyeje kuondoa hii sumu ya “roho za kwanini” sehemu za kazi?
Karibuni tujadili, lakini kwa hoja, sio hasira. 😅 Pia unaweza kuvote hapo JF matakwimu wapate mtazamo.
Kwa hyo kazini huna story na mtu mkuu.Tangu nianze business sijawahi kukaa ofisini na circle ya wapumbavu wa aina hiyo saa moja na nusu nipo ofisini saa kumi kamili nipo kwenye business siamini katika kulambalamba matako ndo mtu apate safari au posho, ukiniona utadhani mkuu wa taasisi😀 exposure muhimu wazee ofisi zimejaa uchawi, wivu, chuki, uzandiki nk find your own culture
Sina kabisa mkuu mi nafanya kazi tu na hiyo imeniepusha na mengiKwa hyo kazini huna story na mtu mkuu.
Hii nzuriTangu nianze business sijawahi kukaa ofisini na circle ya wapumbavu wa aina hiyo saa moja na nusu nipo ofisini saa kumi kamili nipo kwenye business siamini katika kulambalamba matako ndo mtu apate safari au posho, ukiniona utadhani mkuu wa taasisi😀 exposure muhimu wazee ofisi zimejaa uchawi, wivu, chuki, uzandiki nk find your own culture
Hii ni life style nzuri mkuu.. itabidi niicopy..vip hawakuoni kama unawatenga?Sina kabisa mkuu mi nafanya kazi tu na hiyo imeniepusha na mengi
Inagine mtu anakuchawia , kuchongea na kunafikia lakini hana maendeleo yoyote ananuka shida tu mvi zinawatoka kabla ya muda, vitambi havina ushirikiano wanaenda safari wanarudi wanatukuta tuna SHINE gari zimejaa mafuta
Gademiti
Unaonekana tu uko tofauti kama Corporate flani positive but focused sio kwa maaana ya kutenga mtuHii ni life style nzuri mkuu.. itabidi niicopy..vip hawakuoni kama unawatenga?