Hakunaga kama Kikwete! Hivi ndivyo ilivyokuwa mwaka mpya kule Msoga

Life is like dancing music..dance before the song is over! Kikwete is grooving with the rhythm deadly.

It simply mean enjoy maisha yako kikamilifu kabla hujafa.
 
Yule mzee wa kutumbua majipu roho inamuua kama imetumika hela yake ya mfukoni.

Kitu ninachokijutia kwenye maisha yangu ni kumpa kura yangu yule Mwanaume wa mkoani na mawani yake kama kobe.
 
Mwenye kujua kodi iliyolipwa kutokana na hii show, pls
 
Hiyo ndo siri ya ujana wa Mzee wa Msoga.... bata ubatani kwenda mbele hata ukiwa kizee
 
Kikwete kiumri ni mkubwa sana miaka 67 hivi ila ukimuangalia anaonekana yupo strong kwa sababu ya kutokuwa na chuki na watu,kuruhusu asemwe na kujua mapungufu yake ni yapi na KUJIACHIA ila sasa ukimuangalia Bw. John utafikiri ndiyo mzee kuliko Hon. JK
 
Hii nchi aisee, acha tu waendelee kututukana!
Kungekuwa na structure nzuri ya utawala na division of labor naona ingeepusha miingiliano ya majukumu na pia upotevu wa vipaji maana hizi mambo ya akina hamonizidi kuwa mawaziri na wabunge zingepungua.
 
Siri ameshaambiwa na Rais Mwinyi kwa hiyo hakuna shaka tena
 
Yani mzee wetu hatakagi stress kabisa, stress free hanaga shida na mtu na ni mtu wa watu.
 
Eeeeh bwana Kikwete ni bonge la gentleman.
Mama Salma ana bahati sana kumpata mwanaume wa aina ya Kikwete.
Mzee hatakagi stress, ni kura bataz u know hahahaaaa
And I love it
Tamaa zako za kijinga sana....mwanaume hasifiw stareh.....mwanaume kupiga kazi malaya kama nyie mshibe...
 
Sijui ni macho yangu au,,,,,,,jamaa kachoka asee,ni nini?????
Ama ni vile Best friend Dangote kasumbuliwa nini?
Ama vile Tanesco inafumuliwa?

Dah.
 
Kumbe umegundua ! ni aina ya faraja ya bandia watu wanajipa mzee huyu aliitwa majina yote ya hovyo mara dhaifu mara da gama ila leo kupoza machungu watu wanamkumbuka nae alisema "mtanikumbuka "
Wanao mkumbuka ni maccm tuu.
 
Huyu mzee mlimponda kweli enzi zake kwa kumpa kila tusi, kweli kwa watz kila kitu bora jana.
Hapana. Ni kawaida kulinganisha kipya na kilicho pita.
Sasa kikwete alikosolewa na kusifiwa pia. Na pia akisikiliza na kufata ushauri...
alipo kosolewa alijitahid kujirekebisha.
akiwaita wapinzani kuongea mambo ya nchi.
wakati wa katiba alikubali mapendekezo yao.
sasa huyu wa sasa bachi weee
 
True kabisa Kaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…