Hakunaga kama Kikwete! Hivi ndivyo ilivyokuwa mwaka mpya kule Msoga

Maisha ndio hayo sasa JK anajua kuenjoy life banaa.Sio kila saa mtu unawaza Katerero tu nooo kuna maisha mengine
Huyu mzee mnyamwezi sana,na ndio uzuri wa kutokuwa baba mnoko kwa familia namna hii watoto wanaweza kushauri ufanye nini,uvae nini/wapi.Yaani mzee anakula pipi tuu sio kufwatiliana mara katerelo mara kashabali mweh!!!!![emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Haya ndio maisha kula bata kuwa na tabasamu, haina sababu ya kuwa na hasira na mtu tena haswa aliefanikiwa kimaisha unajiumiza na kupunguza siku zako za kuishi.
 
we unahamu ya kukalia dushe naona.....

Naona bado unajichanganya....nimekuambia nitakufundisha tu, nina maana ya kukushikisha ukuta au ncha ya kitanda na ndiyo maana nimekuuliza kama bado uko bikra huko nyuma.
 
Naona bado unajichanganya....nimekuambia nitakufundisha tu, nina maana ya kukushikisha ukuta au ncha ya kitanda na ndiyo maana nimekuuliza kama bado uko bikra huko nyuma.
naona umeamua kutangaza biashara yako ya kuuza tigo....
uko na confidence nyuma ya keyboard m.aku wewe mpelekee baba yako akakufumue naona genye za nyuma zimekupanda maniner choko wewe
 
naona umeamua kutangaza biashara yako ya kuuza tigo....
uko na confidence nyuma ya keyboard m.aku wewe mpelekee baba yako akakufumue naona genye za nyuma zimekupanda maniner choko wewe

Mkuu, kelele za nini? Nimejitolea kukupa offer ya kukufunza starehe uliyoitaka, nakushangaa unatokwa na povu. Ulikuwa hutaki mkeo ajuwe kama unashikishwa ukuta nini, samahani na mwambie nilikuwa nakutania tu pengine atakusikia.
 
JK baba we love you...!! Uishi miaka elfu kwa maelfu, mtu wa watu..!! JK, tunakumiss sana
 
Mkuu, kelele za nini? Nimejitolea kukupa offer ya kukufunza starehe uliyoitaka, nakushangaa unatokwa na povu. Ulikuwa hutaki mkeo ajuwe kama unashikishwa ukuta nini, samahani na mwambie nilikuwa nakutania tu pengine atakusikia.
ndo akili za wabongo...umeulizwa swali we unawaza ushoga
itakua punga wewe bila shaka
 
Eeeeh bwana Kikwete ni bonge la gentleman.
Mama Salma ana bahati sana kumpata mwanaume wa aina ya Kikwete.
Mzee hatakagi stress, ni kura bataz u know hahahaaaa
And I love it

Sasa Ndio naamini kuwa Kikwete alitamani kila Mtanzania kuwa na maisha bora.
 
dah huyu jamaa...huwa hapendi tabu kabisa

Sawa kweli ni mtu wa starehe na ndio maana alipenda sana kwenda kubembea ulaya; siku hizi toka amestaafu nuru yake imepungua kwa kukosa safari za kwenda majuu!!
 
LOWASSA & KIKWETE hawajaanza starehe leo.

Wanajua kula bata tangu ujana wao.

Huyu mwingine anajua kula ugali wa kisukuma tangu utotoni
Alafu hayo mabata yao yakatusaidia nn kama taifa zaidi ya kutuletea utapeli wa richmond??
Heheeeeee kama nakuona ulivyofurahi.
Sure,hakuna mwanamke ambaye hatopenda kuwa na mwanaume wa aina yake.

BTW ulimuona Mzee wangu Lowassa?

Wazee wanaojua kura maisha
Hahahaaaaa
 
Sawa kweli ni mtu wa starehe na ndio maana alipenda sana kwenda kubembea ulaya; siku hizi toka amestaafu nuru yake imepungua kwa kukosa safari za kwenda majuu!!
Mbona Huyu JK anakuwa majuu sana kuliko Bongo.
Takwimu zinaonesha kwa miaka13 ndo Mtanganyika aliyesafiri Mara nyingi zaidi kwenda mambele.
Source: Time ya Taifa ya Takwimu,JKIA.
 
Magufuli ndio Rais pekee ambaye anatumia gharama za juu kwa ulinzi toka tupate uhuru..

Juzi huko rukwa helkopta 4 zilizunguka uwanja kwa muda wa saa moja eti kusafisha anga

Huyo kwenye avatar ni wewe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…