Malaika-Hakika
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 238
- 232
Huyu mzee mnyamwezi sana,na ndio uzuri wa kutokuwa baba mnoko kwa familia namna hii watoto wanaweza kushauri ufanye nini,uvae nini/wapi.Yaani mzee anakula pipi tuu sio kufwatiliana mara katerelo mara kashabali mweh!!!!![emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Maisha ndio hayo sasa JK anajua kuenjoy life banaa.Sio kila saa mtu unawaza Katerero tu nooo kuna maisha mengine