Hakunaga kama Kikwete! Hivi ndivyo ilivyokuwa mwaka mpya kule Msoga

Hakunaga kama Kikwete! Hivi ndivyo ilivyokuwa mwaka mpya kule Msoga

Mbona unawakandya wahaya, kwa taarifa yako hakuna zaidi ya katerero hapa duniani....uliza mwanamke yeyote anapenda nini kati ya kuserebuka na Kikwete au kupewa katerero, sikia atakuambiaje. Acha kina Mama waloweshe magodoro we kijana.
Ndo mana dada zenu wa kihaya wanauza nyapu sana mwananyama na tandika
 
Hakuna watu wanafiki kama BAVICHA, kwenye uzi huu unafiki wao kwa JK umejidhihirisha
 
Wanalowesha magodoro haswaaaaaa! Tena lile Niagara Falls la mtu mzima lililo Changanyika na bia basi inakuwa tabu. Juzi nimetupa godoro jipya kudadeki!


Mkuu taratibu......vitu hivi inabidi useme kwa siri na kwa mtu unayemuamini maana utakujawapa faida wanaume wenzetu kisha tukakosa offer za kugawa dozi kwa kina Mama na kuwatia hasara wauza maduka kwani hatutakuwa tunatupa tena magodoro, hivyo kuzorotesha uchumi/pato la taifa. Usipende toa siri hii tafadhali, katerero ni Zaidi ya uijuavyo wewe, inabidi uiheshimu tafadhali.
 
Kikwete anakula maisha baada ya miaka 10 kuwalipa watu mishahara bila kufanya kazi
 
kweli mkuu... jamaa alikuwa anapondwa sana wanadai anajichekesha chekesha, wanadai badala ya kufanya mambo ya msingi yuko busy kupiga picha na wasanii.
leo yale yale waliyokuwa wanampondea ndiyo hayo hayo wanatumia kumsifia.
Naipenda sana tz

mfadhili mbuzi binadamu atakuuzi....
 
Hafai kama rais wa nchi, labda rais wa BASATA.
 
Eeeeh bwana Kikwete ni bonge la gentleman.
Mama Salma ana bahati sana kumpata mwanaume wa aina ya Kikwete.
Mzee hatakagi stress, ni kura bataz u know hahahaaaa
And I love it
Hata wewe unabahati,hizo ndiyo pure tabia za "blaza"The bold,tupia tu hapa maisha yenu.
 
Kikwete anakula maisha baada ya miaka 10 kuwalipa watu mishahara bila kufanya kazi
Huyu wa sasa mbona km ndio anarudisha nyuma maendeleo pamoja na u serious wake?
 
That doesn't legaiize his weakness... He was and still weak president Tanzania to have
Hapa Umenena Watanzania Wengi Wanafiki Huwezi Amini Kama Huyu Ndo Alikuwa Anatukanwa Na Kila Mtanzania Rais Wa Hovyo Leo Angalia Comment Zao Lowasa Kutoka Kuwa Fisadi Hadi Rais Wa Mioyo Ya Watanzania Magufuli Kutoka Chaguo La Mungu Hadi Dikteta Asiyependwa Sijui Yupi Kwetu Atatufaa.
 
Back
Top Bottom