Hakunaga kama Kikwete! Hivi ndivyo ilivyokuwa mwaka mpya kule Msoga

.
Huyu wa sasa mbona km ndio anarudisha nyuma maendeleo pamoja na u serious wake?

Man hakuna kitu kinachonitia hasira kama watu kulipana mishahara wakati hawafanyikazi na Kikwete alijua wazi kodi zinazoibiwa ni za walalahoi.
 
mi sio demu ......nifundishe nikaifanyie practise kwa demu wako

Poa kabisa, kama wewe siyo demu ndiyo ninavyotaka mimi....nitakufundisha tu, wala usihofu. Huko nyuma uko sawa, yaani bado bikra au?
 
Kikwete kiumri ni mkubwa sana miaka 67 hivi ila ukimuangalia anaonekana yupo strong kwa sababu ya kutokuwa na chuki na watu,kuruhusu asemwe na kujua mapungufu yake ni yapi na KUJIACHIA ila sasa ukimuangalia Bw. John utafikiri ndiyo mzee kuliko Hon. JK
Kwa sasa mnamukubali .nabado nahuyu mtamkubali tu someni kwanza number
 
.

Man hakuna kitu kinachonitia hasira kama watu kulipana mishahara wakati hawafanyikazi na Kikwete alijua wazi kodi zinazoibiwa ni za walalahoi.

Hawafanyi kazi waliwezaje kujenga barabara madaraja hospitali vyuo vikuu shule mwendo kasi nk nk..unajua wamekua wakikatwa kodi kiasi gani kila mwaka kuchangia serikali iii itekeleze miradi ya maendeleo???..nakuuliza wewe mwenye kichwa butu kilojaa manyoya badala ya ubongo wa kufikiri!
 
I'm talking about Watumishi hewa. We unajua ndani ya miaka 10 ya kikwete kiasi gani cha kodi ya walala hoi imeibiwa? Au unatukana matusi tu kama punguani?
 
Watumishi whaat?,..hewa ndo nini wewe..bla bla blah...why fedha ya kulipa mishahara imeongezeka pamoja na kuondolewa hiyo hewa?? Why isipungue kwani kuna waajiriwa wapya?,..kweli critical thinking ilitakiwa kuwa elimu ya lazima kama ilivyo hesabu shule ya msingi..
 
MZEE WA BATA HUYO. MAGIGONI ILIKUWAJE MWAKA MPYA JAMANI?
 
Poa kabisa, kama wewe siyo demu ndiyo ninavyotaka mimi....nitakufundisha tu, wala usihofu. Huko nyuma uko sawa, yaani bado bikra au?
ukiona mpuuzi mmoja anakazania ujinga ulani ,hiyo ndio tabia yake...
naona umeamua kutafuta b.asha kwa nguvu
 
Namkubali sana huyu mzee tangu kipindi akiwa madarakani yan anajua kuenjoy life,safii sana maisha yenyew mafupi haya!
 
Watumishi whaat?,..hewa ndo nini wewe..bla bla blah...why fedha ya kulipa mishahara imeongezeka pamoja na kuondolewa hiyo hewa?? Why isipungue kwani kuna waajiriwa wapya?,..kweli critical thinking ilitakiwa kuwa elimu ya lazima kama ilivyo hesabu shule ya msingi..

Sielewi unasema nini. Lakini nilichosema hapo juu kinaeleweka kabisa. Swala la kuiba kodi za wananchi na ongezeko la mishahara ni vitu viwili tofauti. Mkwere is the worst president we ever had in Tanzania.
 
Hu ni mtazamo wako na usitake kila MTU naamini hivyo,Mimi naamini KIKWETE ndo best president ever kuwahi kumshuhudia Tanzania....,
 
If he still weak, his weakness for now has no impacts to us so you is weak also because you can't differentiate time
Point of correction...

You is weak [emoji735]
You are weak [emoji736]

Can I now proceed showing kikwete weakness during his reign?
 
That doesn't legaiize his weakness... He was and still weak president Tanzania to have
Bora wewe unayesema ukweli, watu wamesahau jinsi alivyopoteza madini yetu kwa kampuni zile za Canada etc. pamoja na kufuja rasilimali za taifa. Subirini muone jinsi JPM atakavyoikweza nchi mtaona aibu wenyewe. Kwa ukweli marais hawa ndio walioeta dhahama Tanzania, Mwinyi, Mkapa na Jakaya. Mkapa kwa kiasi kikubwa kuuza mashirika ya umma kwa bei ya peremende, watu wanasahau shirika la umeme liliwekwa chini ya SA company, Air Tanzania etc. Huyu aliharibu sana aliuza NBC kwa bei ya pipi? Hakuwa na uwezo wa kuongoza alikaa sana UN akafikiri kuongoza nchi ni kuuza rasilimali. Ugomvi wake na SAS ndio uliopelekea kuuzwa nyumba za serikali kwa kung'ang'ania kale ka-flat ka pale ufukweni..

JK hakuwa na uwezo yeye ni kuvinjari tu, Mwinyi ndio basi mzee rukhsa kila kitu rukhsa phew! Hata fagio la chuma alilokabidhiwa sijui aliuza? (Muulizeni Mkapa leo hii ilikuwaje katika karne hii auze mashirika yetu kama watemi ambao hata shule hawakwenda kwa bei ya peremende?)
 
Hivi unasoma na kushuhudia au ndo una subiri kutemewa na kina mbowe na mnyika ili nawe umeze??
 
Back
Top Bottom