Hakunakiri Namba ya mtihani na Ajira portal iko under maintenance afanyaje?

Mkuu hapa tunamzungunzia graduate, sio njuka. Graduate ni mtaalamu, na mtu ambae mwenye upeo. Sasa kama graduate mambo madogo hivi anashindwa hapo kuna tatizo kubwa
 
Wakuu, kuna aliyepitia changamoto kama hii ya ku Log in kwenye mfumo jana au leo akakuta Under maintenance?

MREJESHO: Wakuu naona mfumo umefunguka tayari mambo yako vizuri
kwa sasa inafunguka ingia
 
Namba ya usaili utaikuta kituoni muda unaosaini kuthibitisha umefika kukandwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…