Nyani Mzee Snr
JF-Expert Member
- Feb 4, 2021
- 12,122
- 42,777
Subiri mie ndio hamtojuja niona tena na sio kunipata tuYeereeeeeh!
Kamwe katika historia ya Tanzania hakutawahi kutokea Rais kama JK. Alikuwa mtu wa watu mpole wakati wote. Vijana wa TISS na UVCCM walikuwa wanamrukia hadi mabegani. Ndie rais wa kwanza Tanzania kuvaa jeans na Tshet hadharani. Hatutawahi kumpata kama JK.