Hakuwa cha kuzindua wiki hii?

Kazindua wizi mkubwa katika historia ya nchi yetu 1.5 trillions huu uzinduzi ulifanyika ndani ya Ikulu kwa majizi makubwa ya nchi hii.

Tangu ripoti ya CAG imetoka hatuja muona mtukufu bararani akiwa na mkasi wake wa kuzindua. Hata vile viwanda vya saloon vya Lusinde hakuna kilichomalizika tupate kuona uso wa mzee?
 
Nina wasiwasi kama hawamsaki Zitto hawa kila kona pamoja na kuwa hana hatia yoyote ile.
 
Nina wasiwasi kama hawamsaki Zitto hawa kila kona pamoja na kuwa hana hatia yoyote ile.
Tunasubiri Le Mutuz atufafanulie matumizi ya 1.5 trillion.
Yaani CCM hakuna aliyeweza kuchanganua ripoti ya CAG mpaka kwa msaada wa kaka mkubwa mwenye degree tatu alizozipata College
 
Reactions: BAK
Hivi hamzioni hizi mvua muende mashambani kuzalisha badala ya kushinda kulaumu serikali huku mitandaoni?
Unafikiri kwa makalio mkuu nini yani kosa kujadili kodi zetu ambazo miongoni ni iyo 1.5T au sio tukazalishe na tulipe kodi then manyumbu watumbue tu pesa eeèeeh.
 
Nimejenga ukuta kuzuia wahuni kunitongozea binti zangu hovyo hovyo nasubiri uzinduzi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…