Cognitivist
JF-Expert Member
- Aug 7, 2011
- 1,057
- 2,096
The most corrupt president of our time malaika jiwe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vitukoman we do normally miss them!Kumbe unammisi eeh!
Uzinduzi sio ratiba za ghafla, zipo ktk ratiba ya miezi 2 kabla.
Tangu ripoti ya CAG imetoka hatuja muona mtukufu bararani akiwa na mkasi wake wa kuzindua. Hata vile viwanda vya saloon vya Lusinde hakuna kilichomalizika tupate kuona uso wa mzee?
Tunasubiri Le Mutuz atufafanulie matumizi ya 1.5 trillion.Nina wasiwasi kama hawamsaki Zitto hawa kila kona pamoja na kuwa hana hatia yoyote ile.
Wee umeendaHivi hamzioni hizi mvua muende mashambani kuzalisha badala ya kushinda kulaumu serikali huku mitandaoni?
Unafikiri kwa makalio mkuu nini yani kosa kujadili kodi zetu ambazo miongoni ni iyo 1.5T au sio tukazalishe na tulipe kodi then manyumbu watumbue tu pesa eeèeeh.Hivi hamzioni hizi mvua muende mashambani kuzalisha badala ya kushinda kulaumu serikali huku mitandaoni?