Hakyamama nawaonea wivu The Bold & Nifah

Humjui GENTAMYCINE baby?Mzoee tu.

Afadhali Nifah umenisaidia kunitetea kwa Mumeo huyo kwani nahisi na Mimi sasa ningekuwa nahangaika kutafuta Wadhamini wa kunitoa Kolokoroni. Mumeo nasikia si Mtu wa sport sport! Kuna UZI mmoja mzuri sana nitauanzisha Jumamosi ijayo asubuhi ya kati ya Saa 1 au Saa 2 naomba usiukose Dada yangu sawa? Najua siku hiyo utacheka hadi kupasuka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…