Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,020
- 79,098
Humjui GENTAMYCINE baby?Mzoee tu.[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Humjui GENTAMYCINE baby?Mzoee tu.[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Hakika.!Mpende kama vile hutapenda tena
Hahaaaa. Dah. Nilipotea mpaka nikasahau couples za JF.
Hata walokuwa 'wangu' nishawasahau. Lol
Uncle nakuonaHaiwezekani ingekuwa miss changa hapo ningeelewa ila kwa dada yangu Patience123 unamuonea bure hana shida za hivyo ni mvumilivu huyu kwa kila hali unaishi naye
Mkipata mtoto.muiteni jamii forum.
Miss Natafuta kakimbia[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
REAL MEN CANNOT BE STOLEN [emoji108]
Nilikua nakutafuta sikupatiiiMpende kama vile hutapenda tena
Haahahaha!! Mkuu usimchokoze msahana akafanya yake tukajuta [emoji1] mshana sio wa mchezo mchezo..Dah siwezi kuamini yaani mshana jr na uchawi wote kashindwa na The bold jasusi la kimarekani. Ama kweli mganga hajigangi🙂😀😀😀😀
Umenipata sasa niambieNilikua nakutafuta sikupatiii
Mkuu "HQ" wazima lakini??Police watakuwa wanabadilishana kumlinda na kumkagua 24/7 hadi mauti yake, na akifanya mzaha atakuwa anabambikiwa Kesi kila uchao.
Nina milioni 89 za pensheni. VP tunaweza kusaidiana kuwekeza?Umenipata sasa niambie
Nina milioni 89 za pensheni. VP tunaweza kusaidiana kuwekeza?
Humjui GENTAMYCINE baby?Mzoee tu.
Heri ya Christmas mama ,mzima ? Nimemiss vimbwanga vyako vipi hujamkamata bado bilionea mmoja wa jf ?Uncle nakuona
Ngoja nikufuate private fasta .. hilo swala niachie kila kitu mimi we relax subiria kula faida ya pensheniNina milioni 89 za pensheni. VP tunaweza kusaidiana kuwekeza?
Sikuoni mjukuuuNgoja nikufuate private fasta .. hilo swala niachie kila kitu mimi we relax subiria kula faida ya pensheni
Mkuu "HQ" wazima lakini??