Hakyamama nawaonea wivu The Bold & Nifah

Heri ya Christmas mama ,mzima ? Nimemiss vimbwanga vyako vipi hujamkamata bado bilionea mmoja wa jf ?
Asante nawe pia.. bilionea wq Jf nishawafilisi baadhi nikajisepea kimya kimya .. sa hivi nipo na wakitaa huku tunaendelea kuzisaka
 
Tabia mbaya mwenzio apasuke asione 2017[emoji125] [emoji125] [emoji125]
 
Asante nawe pia.. bilionea wq Jf nishawafilisi baadhi nikajisepea kimya kimya .. sa hivi nipo na wakitaa huku tunaendelea kuzisaka
Teh teh haya Miss , I hope Marangu umejenga lakini sio umewakamata ukaishia kuwekwa kwenye Apartment na gari lenye jina la aliyekupa
 

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Siwezi kukosa kaka.
Tuombe uzima tu.
 
Teh teh haya Miss , I hope Marangu umejenga lakini sio umewakamata ukaishia kuwekwa kwenye Apartment na gari lenye jina la aliyekupa
Nimejenga na mjini pia ha ha ha vigari vyao niliuza nikanunua langu ha ha ha
 
Aisee inaelekea nimezubaa sana yani mtu unaondoka na mrembo hapa JF nikiambiwa la maana nililofanya mwaka huu ni kumponda Uncle Magufuli madongo .
Ngoja nikazane mwaka ni na mimi nimpate mwenza hapa.
Hongera sana Mkuu the Bold na bibie Nifah kwa kuwa Kitu kimoja. Mwenyezi awajalie kila lenye kheri katika safari yenu. InshaAllah
 
Shukrani sana Mkuu lancanshire
 
Haahahaha!! Mkuu usimchokoze msahana akafanya yake tukajuta [emoji1] mshana sio wa mchezo mchezo..
Halafu brother The bold Mungu akubariki mkuu jana nilisoma ule uzi wako wa Carlos(The jackal) umenifanya na mimi niwe member wako wa karibu na nyuzi zako. ingawa nishasoma baadhi lakini Carlos the jackal ilikuwa nzuri sana.
 
Tabia mbaya mwenzio apasuke asione 2017[emoji125] [emoji125] [emoji125]

miss chagga kama hutojali naomba Mimi na Wewe sasa tuige mfano wa hawa Wapendwa wetu tafadhali kwani napenda mno kuoa Binti wa Kichagga. Unaweza na Wewe ukanitumia picha yako niitumie kama Avatar yangu na Wewe pia nikupe hilo Nyago langu katika Avatar hapo utiririke nalo? Nakupenda na nakuhitaji kunakotukuka Baby. Nikifanya masihara na kuchelewa Mademu wote humu JF wataolewa na nitabaki tu sasa kukodoleana mimacho ya Midume wenzangu tu humu.

Nasubiri jibu langu Darling wa Kichagga!
 
My darling kwanza ushapata pesa sitaki story?
 
Uniite namie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…