MLALUKO JR
JF-Expert Member
- May 3, 2015
- 962
- 309
May Allah bless u all Akhy The Bold and Ukhuty Nifah.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
We jamaa bhana.! Ila dizaini una point [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
May Allah bless u all Akhy The Bold and Ukhuty Nifah.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
We jamaa bhana.! Ila dizaini una point [emoji23]
Tutakuwa wote mama mpaka January usijaliHeri ya christmass kwako pia uncle usipotee tena,tuupokee mwaka mpya wote.
.....everAnd you will never be..
Aiseee huko sitaki mpaguse nisha invest tayari hela kitu gani bana?Kuna Mtoto kutoka kasikazini yuko kishenzi but anapenda hela kuliko mfuko anaitwa miss chagga
Nimecheka mpaka bia imemwagikaaaKabisa unaweza kukuta ni mimi mwenyewe najitongoza na kujikubalia!!
You are genius, kula tano [emoji109]
Insha allah! Shukrani sana MLALUKO JRMay Allah bless u all Akhy The Bold and Ukhuty Nifah.
Wananiita hivoooWewe nawe unajiita "The great thinker?
I know that babes! Same here.. [emoji4].....ever
It's either you or never baby [emoji8] [emoji8] [emoji8]
I love you,only you.
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Nimecheka mpaka bia imemwagikaaa
Asanteeee saaana[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Pole sana Mkuu..
[emoji1] [emoji1] [emoji1]vaa miwani tuuu [emoji41] [emoji41] [emoji41]
usione gereeeee
Hahahahah!! Bila shaka Mkuu, JF ndio Nyumbani na ndio mtaa niliopita nikamuona binti mrembo na kuanza kutupa ndoano zangu mpaka amenasa..Katika uzi ambao kwanza ulinipita lakini nimesoma page zote 25 kila comment nikajikuta nina wivu x3 ya mtoa mada....
Khaaa siyo kwa mahaba haya.....
anyway wivu/chuki ni ugonjwa acha nijisahulishe tu,
long live kwenu,
Nb, mmeanzia humu tunaomba kila stage iwe mbaya iwe nzuri wana jf tujue maana sisi ndo tunawajua kuliko hata wazazi wenu
Unaongea na simu au unaongea na mimi?Aiseee huko sitaki mpaguse nisha invest tayari hela kitu gani bana?
Mambo ya FA mtakufa na hamu zenu
Cc:miss chagga
Hahahahah!! Bila shaka Mkuu, JF ndio Nyumbani na ndio mtaa niliopita nikamuona binti mrembo na kuanza kutupa ndoano zangu mpaka amenasa..
So hapa ni kila kitu! Uzuri humu wamejaa wenye busara na kila aina ya wajuzi wa mambo.. So kila hatua iwe nzuri au mbaya, hapa ni Nyumbani na tutahitaji sana mtushauri na kutusaidia ili tudumu..