Hakyamama nawaonea wivu The Bold & Nifah

Katika uzi ambao kwanza ulinipita lakini nimesoma page zote 25 kila comment nikajikuta nina wivu x3 ya mtoa mada....
Khaaa siyo kwa mahaba haya.....
anyway wivu/chuki ni ugonjwa acha nijisahulishe tu,
long live kwenu,
Nb, mmeanzia humu tunaomba kila stage iwe mbaya iwe nzuri wana jf tujue maana sisi ndo tunawajua kuliko hata wazazi wenu
 
Hahahahah!! Bila shaka Mkuu, JF ndio Nyumbani na ndio mtaa niliopita nikamuona binti mrembo na kuanza kutupa ndoano zangu mpaka amenasa..

So hapa ni kila kitu! Uzuri humu wamejaa wenye busara na kila aina ya wajuzi wa mambo.. So kila hatua iwe nzuri au mbaya, hapa ni Nyumbani na tutahitaji sana mtushauri na kutusaidia ili tudumu..
 

Ukimpata umpendae basi umefanikiwa kuiteka furaha yako.
Endelea kuitetea Furaha yako katika mapito yako kwani kupitia hiyo ndipo utakapo kamilisha Ndoto zako.

,~Michaelray22
 
Daaaah sikutaka kukoment hapa manake donge limenikaa rohoni ila ngoja tu nilitoe.
The bold napenda sana makala zake afu Nifah nampenda kichizi yani.
Sijawahi kuwaza kuwa naye wala kumtokea ila nampenda sana tu.

The bold anatuletea vitu vy ukweli hapa JF kwa hio siwezi kum mind.
Ninachomuomba tu ni amtunze sana huyu mtoto nifah.
Sio kesho kutwa tunasikia kakimbilia kwa kina kisu cha ngariba ananyweshwa mbege
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…