Robot la Matope
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 8,174
- 16,794
- Thread starter
- #361
Asante mkuu.Tumia brain mtoto wa kiume wivu mpaka kwenye post. Tanzania ya viwanda
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante mkuu.Tumia brain mtoto wa kiume wivu mpaka kwenye post. Tanzania ya viwanda
Unataka kusemajeAiiiiiiiiii, nani kasema?
Mmh mbona wanitisha yakhee ndo huwa unauliza hivi kwenye kila jambo?Niweke wapi? Mbele au nyuma?
Juu au chini?Mmh mbona wanitisha yakhee ndo huwa unauliza hivi kwenye kila jambo?
Hivyo Hivyo ulivyoelewaUnataka kusemaje
Wacha maneno piga muzikiiiiHivyo Hivyo ulivyoelewa
Hhaha jipe moyo wema sepetu nA ustaa wake wote lakini anaibiwa [emoji124] [emoji124] [emoji124]Hata sasa unadhani wanakosekana basi? Siwezi kuacha kuwa proud na my man sababu ya kuhofia nyakunyaku...real men cannot be stolen.
I trust him.
[emoji4] [emoji4] [emoji4] sawa kaka [emoji120]
OMG!Hivi kuna watu wanaamini ustar ni chochote ktk mapenzi?Hhaha jipe moyo wema sepetu nA ustaa wake wote lakini anaibiwa [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Umbea sunaAcha umbea
Sasa hivi ninaye yule wa mtaani huyu wa humu nimempiga chiniInterest yangu kubwa nataka nijue kama bado moyo wako upo kwa yule jamaa wa JF au kwa yule jamaa wa mtaani aliekuwa anakusumbuaga![emoji1]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Wazo zuri ila naomba tusherehekee humu humu huko tutaenda kukusanywa kama kuku wenye mdondo.
Hahahahah! Dah nimecheka sana Mkuu.Hivi mlokole The bold na ustadhaat Nifah zinaiva kweli[emoji3] [emoji12]
Walah nimetishika aiseeJuu au chini?
Mkubwa hivoo unatishika Kwa nyau?
[emoji23] [emoji23] kuwa na mtoto wa kambo kama huyu ni kujitafutia kufa ningali kabinti kabichi...nimenyoosha mikono[emoji119]Hivyo Hivyo ulivyoelewa
Nafurahi sana kuona watu wakipendana, katika mapenzi na ndoa kuna majaribu na mitihani, nami nawaombea kwa Allah awapeni ushindi na ufaulu muyashinde yote ili muweze kufikia kheri mlioikusudia, Allah awahifadhi awalinde na awape uzima na Afya njema inshaallah Allah awajaalie kizazi chema chenye usikivu uelewa na utulivu aamiyn nawatakia usiku mwema Nifa and The bold.
Daah kipindi nipo mgeni humu jf nikitokea home (Instagram) nilidhani mshanajr ndo yule jama Mzee wa downtown akili kubwaz (le mutuz)
By the way the bold na nifah andaeni kadi za kutosha saaaana...
Niffah kamtumze mumeo..the same to bold le ndoa lidumuz u know