Hakyamama nawaonea wivu The Bold & Nifah

Hata sasa unadhani wanakosekana basi? Siwezi kuacha kuwa proud na my man sababu ya kuhofia nyakunyaku...real men cannot be stolen.
I trust him.

[emoji4] [emoji4] [emoji4] sawa kaka [emoji120]
Hhaha jipe moyo wema sepetu nA ustaa wake wote lakini anaibiwa [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Hivi mlokole The bold na ustadhaat Nifah zinaiva kweli[emoji3] [emoji12]
Hahahahah! Dah nimecheka sana Mkuu.

Ila nani kakwambia mimi mlokole?? Siku ukisikia jina langu utasema hili lijamaa limetoroka Afghanistan [emoji23]

Sema nimesoma sana biblia darasani kuanzia msingi mpaka chuo kutokana na aina ya shule nilizosoma! That's why theolojia naijua jua na imenifanya niwe na makhaba na ukristo.. And ofcoz nina makhaba na dini zote mpaka ubudha, uhindu, umormon, uscientology n.k.
 
Daah kipindi nipo mgeni humu jf nikitokea home (Instagram) nilidhani mshanajr ndo yule jama Mzee wa downtown akili kubwaz (le mutuz)
By the way the bold na nifah andaeni kadi za kutosha saaaana...
Niffah kamtumze mumeo..the same to bold le ndoa lidumuz u know
 
Nafurahi sana kuona watu wakipendana, katika mapenzi na ndoa kuna majaribu na mitihani, nami nawaombea kwa Allah awapeni ushindi na ufaulu muyashinde yote ili muweze kufikia kheri mlioikusudia, Allah awahifadhi awalinde na awape uzima na Afya njema inshaallah Allah awajaalie kizazi chema chenye usikivu uelewa na utulivu aamiyn nawatakia usiku mwema Nifa and The bold.
 

Awwwwwwwww haya ni mapenzi makubwa aysher!
Am speechless kabisa [emoji87]
Allahuma Amiyn,
Jazakallah Khayran.
Nimetokea kukupenda bure dearest [emoji7] [emoji8][emoji120]
 

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] nimecheka sana kuhusu mshana.

Tutaziandaa bila shaka panapo majaaliwa mkuu.
Am giving you my word,nitamtunza kama mboni ya jicho langu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…