Hakyamama nawaonea wivu The Bold & Nifah

That's ma girl..

Katika uwanja wa vita, kama hujui adui yako alikojificha unaweza kujitokeza hadharani kwa kujihami ili uone risasi zikipigwa zinatokea wapi.. Akifyatua tu risasi unajua alipojificha na unatumia mwanya huo kummaliza..

Its the same here, kwa kuweka hii relationship out in the open, ndipo hapo tutaanza kuwaona wachawi kama huyu ambao walikuwa wamejificha wakijitokeza kutoka mapangoni..

Nimesoma comment yake, sikumchukia bali nikamdharau.!
Mtoto wa kiume hawezi kuandika comment ya kipuuzi kama yake..

Huyu ni mchawi uchwara.. Na ameshindwa hata kabla ya kuanza kuroga!
 
He is not serious Shemela wetu. Huu ni utani wa maishemejii
Sawa he is not,but we are serious.
Unajua mambo kama haya yanaumiza kiasi gani?
As his woman,nimeyahisi maumivu ya The bold wangu...ndio maana nimeona nisikae kimya.

Anyways... Nimemjibu tu kutoa nyongo niliyokuwa nayo,sina mpango wa kuwa na ligi,nimeshamaliza.
Thanks
 
Sasa unachopaniki ex ni nini? Kwanini uhisi nina lengo hasi km ulishamweleza jamaa kuwa unao exes?!

Me nawatakia heri ya dhati wala sio unafiki.. Hayo mambo ya kiporo nimetania tu, acha kujaa!

PS: Take a gud care of that little **** Of ours!
 
Nashukuru sana Mkuu Guasa Amboni

Hakika wagombanao ndio wapendanao..
 

Maash Allah
Aamiyn Allahumma Aamiyn
Shukraan Sheikh
Allah akuzidishie kheyr In Shaa Allah
 
He is not serious Shemela wetu. Huu ni utani wa maishemejii
Hapana mkuu huyu hakuwa anafanya utani! Alikuwa anataka kutengeneza sintofahamu baina yetu..

Mbona wewe na wengine mmefanya utani and hatuja react negatively, because maandishi yenu yalikuwa yanaonyesha mnatania.. But this guy ni hater alafu hater asiyejielewa
 
Ama kweli mapenzi upofu! Haya me mchawi. Tupo!
 
Hahaha nilijua tu nitaitwa hater! Sasa hapo ninachohate ni nini? Au why niwe hater?

Hebu nipe sababu moja tu ya Mimi kuwa hater. Nimekosa nini hapo unapopababaikia?!
 

And that's my man [emoji7] [emoji7] [emoji8] [emoji8] [emoji8]

Watu kama hawa hawakosekani my love,tuachane nae na tusonge mbele.

My dearest hubby to be,you are a one in a trillion.
I chose you,and that means I only want you & no one else.
I love you [emoji131]

#TheBold's#
 
Hapa ndo nimeelewaaa.
 
Heheeeeee hebu tukalale baba,tunapoteza muda wetu ujue?
Nakupenda sana,hakuna cha kubadilisha hili.
Period
 
Profeshno!!!!!! Hahahaha... [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Safi sana! Hapo tu ndio ninapokupendea!

Akijileta unapita nae tu.. Kwenye Bio Insta umeandikaje?!

*Paper Chaser*[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Mtaje tukusaidiee kumbembelezaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…