Hakyamama nawaonea wivu The Bold & Nifah

Uncle sio kwa kupotea huku. Juzi tu tumetoka kukusema. Umemissika sana

C.c Nifah atoto Patience 123
Aiseee nilipotea mpwa wangu ..Mambo yako ? Mzima wewe ? Aisee hawa watu humu hawaja mbadilisha Heaven Sent wangu ? Naona Nifah dada yangu nae kaolewa , Kaboom mzima ?

Patience123 nimewasiliana naye jana

Merry Christmas kwenu jamani
 
Mambo poa kabisa uncle, tunamshukuru Mungu. Haha HS wako ni yule yule jana leo na milele, habadiliki. Aah Le twin Nifah sasa hivi ana-smile tu. Daddy kaboom mzima kabisa.

Merry Christmas kwako pia uncle
Aiseee nilipotea mpwa wangu ..Mambo yako ? Mzima wewe ? Aisee hawa watu humu hawaja mbadilisha Heaven Sent wangu ? Naona Nifah dada yangu nae kaolewa , Kaboom mzima ?

Patience123 nimewasiliana naye jana

Merry Christmas kwenu jamani
 
Wooooww.!! Thank you so much wakuu..

Hahahaha roboti la matope eti roho inakuuma [emoji23] [emoji23]

Wakuu, inawezekana wengi hatufahamiana nje ya JF but wote humu tumekuwa kama familia.. And "on behalf of my self" na mrembo Nifah niseme shukrani kwenu wanafamilia wenzetu wote mnaotutakia kheri..

Ni vile tu tunalinda privacy yetu na kuepuka kujiexpose but natamani mda mwingine kuweka wazi ulimwengu mzima ujue kiasi gani tuko deep and serious about this.. Sio ili "kushow off", hapana ni vile finally ukipata soulmate ambaye you have been dreaming kumpata your whole life.. You wish you could scream for the whole world to know..

Kwa dhati kabisa, tunaomba sana maombi yenu, maana mimi na bibie sote ni vijana na kama vijana tuna "changamoto" nyingi, na mahusiano yoyote haijalishi mnapendana kiasi gani lakini lazima kitatokea kipindi cha magumu na mahusiano yenu kujaribiwa.. Mtuombee tuwe na moyo mkuu, hata ikitokea tukifarakana tukumbuke how much we love each other ili tuweze kushinda changamoto na vita zote zilizo mbele yetu na hatimaye tufikie lile lengo tulilonalo mioyoni mwetu..

Again, niwashukuru wote wenye kututakia kheri na kutuombea roboti la matope, Heaven Sent, Compact, samsun, UncleBen, Azarel, Valentina na wanafamilia/wanachama wote wa JamiiForum..

Tunawapenda sana!

# TheBold's
 
Awwwwwww, To love and to be loved, is the greatest happiness of existence. Nawaombea, Inshallah.

[HASHTAG]#TheBolds[/HASHTAG]"
 
Mkipata mtoto.muiteni jamii forum.
 
Ikifika siku ya siku msisahau kutupa mwaliko, maana ninatamani kuja kuwajua wanaJF siku hiyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…