Heaven Sent
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 32,682
- 98,253
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Eeeh hutoona gereKwani ukivaa miwani unaacha kuonaa?
Same to you binaaa. Miss you mnoomarry xmas
Aiseee nilipotea mpwa wangu ..Mambo yako ? Mzima wewe ? Aisee hawa watu humu hawaja mbadilisha Heaven Sent wangu ? Naona Nifah dada yangu nae kaolewa , Kaboom mzima ?

Patience123 nimewasiliana naye jana
Merry Christmas kwenu jamani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mimi ni Robot la Matope
Awwwwwww, To love and to be loved, is the greatest happiness of existence. Nawaombea, Inshallah.Wooooww.!! Thank you so much wakuu..
Hahahaha roboti la matope eti roho inakuuma [emoji23] [emoji23]
Wakuu, inawezekana wengi hatufahamiana nje ya JF but wote humu tumekuwa kama familia.. And "on behalf of my self" na mrembo Nifah niseme shukrani kwenu wanafamilia wenzetu wote mnaotutakia kheri..
Ni vile tu tunalinda privacy yetu na kuepuka kujiexpose but natamani mda mwingine kuweka wazi ulimwengu mzima ujue kiasi gani tuko deep and serious about this.. Sio ili "kushow off", hapana ni vile finally ukipata soulmate ambaye you have been dreaming kumpata your whole life.. You wish you could scream for the whole world to know..
Kwa dhati kabisa, tunaomba sana maombi yenu, maana mimi na bibie sote ni vijana na kama vijana tuna "changamoto" nyingi, na mahusiano yoyote haijalishi mnapendana kiasi gani lakini lazima kitatokea kipindi cha magumu na mahusiano yenu kujaribiwa.. Mtuombee tuwe na moyo mkuu, hata ikitokea tukifarakana tukumbuke how much we love each other ili tuweze kushinda changamoto na vita zote zilizo mbele yetu na hatimaye tufikie lile lengo tulilonalo mioyoni mwetu..
Again, niwashukuru wote wenye kututakia kheri na kutuombea roboti la matope, Heaven Sent, Compact, samsun, UncleBen, Azarel, Valentina na wanafamilia/wanachama wote wa JamiiForum..
Tunawapenda sana!
# TheBold's
Mkipata mtoto.muiteni jamii forum.Wooooww.!! Thank you so much wakuu..

Inshalkah.! [emoji120]Awwwwwww, To love and to be loved, is the greatest happiness of existence. Nawaombea, Inshallah.
[HASHTAG]#TheBolds[/HASHTAG]"
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkipata mtoto.muiteni jamii forum.
Ikifika siku ya siku msisahau kutupa mwaliko, maana ninatamani kuja kuwajua wanaJF siku hiyo.Wooooww.!! Thank you so much wakuu..
Hahahaha roboti la matope eti roho inakuuma [emoji23] [emoji23]
Wakuu, inawezekana wengi hatufahamiana nje ya JF but wote humu tumekuwa kama familia.. And "on behalf of my self" na mrembo Nifah niseme shukrani kwenu wanafamilia wenzetu wote mnaotutakia kheri..
Ni vile tu tunalinda privacy yetu na kuepuka kujiexpose but natamani mda mwingine kuweka wazi ulimwengu mzima ujue kiasi gani tuko deep and serious about this.. Sio ili "kushow off", hapana ni vile finally ukipata soulmate ambaye you have been dreaming kumpata your whole life.. You wish you could scream for the whole world to know..
Kwa dhati kabisa, tunaomba sana maombi yenu, maana mimi na bibie sote ni vijana na kama vijana tuna "changamoto" nyingi, na mahusiano yoyote haijalishi mnapendana kiasi gani lakini lazima kitatokea kipindi cha magumu na mahusiano yenu kujaribiwa.. Mtuombee tuwe na moyo mkuu, hata ikitokea tukifarakana tukumbuke how much we love each other ili tuweze kushinda changamoto na vita zote zilizo mbele yetu na hatimaye tufikie lile lengo tulilonalo mioyoni mwetu..
Again, niwashukuru wote wenye kututakia kheri na kutuombea roboti la matope, Heaven Sent, Compact, samsun, UncleBen, Azarel, Valentina na wanafamilia/wanachama wote wa JamiiForum..
Tunawapenda sana!
# TheBold's
Wazo zuri ila naomba tusherehekee humu humu huko tutaenda kukusanywa kama kuku wenye mdondo.Ikifika siku ya siku msisahau kutupa mwaliko, maana ninatamani kuja kuwajua wanaJF siku hiyo.
Kwanini mkuu,ushawahi kuharibu nini .....??Wazo zuri ila naomba tusherehekee humu humu huko tutaenda kukusanywa kama kuku wenye mdondo.
Bila shaka Mkuu! Tuombe kheri..Ikifika siku ya siku msisahau kutupa mwaliko, maana ninatamani kuja kuwajua wanaJF siku hiyo.
Hahahahaha dakika sifuri tu unashangaa difenda hiyo imekuja kuwachukua wageni waalikwa..Wazo zuri ila naomba tusherehekee humu humu huko tutaenda kukusanywa kama kuku wenye mdondo.
Kuwa member tu bila Id ya kweli ni kosa kisheria (wanavyodai), na JF ina zengwe la kutumia dot com ndani ya Tanzania.Kwanini mkuu,ushawahi kuharibu nini .....??
Bro, heshima yakoAiseee nilipotea mpwa wangu ..Mambo yako ? Mzima wewe ? Aisee hawa watu humu hawaja mbadilisha Heaven Sent wangu ? Naona Nifah dada yangu nae kaolewa , Kaboom mzima ?
Patience123 nimewasiliana naye jana
Merry Christmas kwenu jamani