Hebu rudi hapa, leo nina mazungumzo mazito na wewe.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Here I amHebu rufi hapa, leo nina mazungumxo mazito na wewe.
Baadae, nenda kaoshe vyombo kwanza.Here I am
Hebu mwambie kabisa la sivyo nitafanya maamuzi magumuWe Rogie umeanza kumtesa my wii ee
SawaI bet unamaanisha mwanzoni mwa thread,njoo mwishoni humu utazikuta tele.
Huo wimbo naupenda sana unaitwaje na ndaupatajeGere mama gere, wananionea gere,
Watausaga mtama waubwie wenyewe
Vipi ulishayafanya?Hebu mwambie kabisa la sivyo nitafanya maamuzi magumu
Naanzaje kufanya kwa mfano?Vipi ulishayafanya?
Kama mimi na ww [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] nway za masiku!?nakutania humu watu wanapendana kweli...
wanajuana nk
salama hujambooKama mimi na ww [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] nway za masiku!?
Sijambo shikamoo... Miss yousalama hujamboo
marhaba dogo hujamboSijambo shikamoo... Miss you
Hahahahah hata uogopi!? Au ndio mwendelezo wakunyimwamarhaba dogo hujambo
Tehe tehe teheSi mchezo Bi Nifah na shela lake ndugu yangu upo ndani ya single button wote tunajikuta central...
Tehe tehe tehe uwiiii nimecheka kwa nguvumkuu avatar tu unaona wivu njoo tubadilishane
Asante mpendwa.Hongera kwao
Wafungue dimba la harusi za jf coz sijui couples zingine zinapoteleaga wapi
Mungu akipenda lazime nije, lazima nichangie afu nitatokwa na chozi(sitalia) afu badae nitajiuliza kwa nn natokwa na chozi.Asante mpendwa.
This time mtacheza harusi ya kwanza ya members wa JF,tuombe kheri In Shaa Allah.
#TheBold's