Hakyamama nawaonea wivu The Bold & Nifah

Hakyamama nawaonea wivu The Bold & Nifah

Asante mpendwa.

This time mtacheza harusi ya kwanza ya members wa JF,tuombe kheri In Shaa Allah.

#TheBold's
Mungu akipenda lazime nije, lazima nichangie afu nitatokwa na chozi(sitalia) afu badae nitajiuliza kwa nn natokwa na chozi.
The bold ni moja ya watu wenye bahati sana duniani.
Sasa ole wake afanye mistakes. Ataisoma #
 
Back
Top Bottom