Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,643
Bibie heri ya mwaka...Here I am my love. jst beside you
Nawe pia wifiiiiBibie heri ya mwaka...
Hiki jje's nimewahi kukutongoza?Nawe pia wifiiii
Hapana Kaboom. Y asking soHiki jje's nimewahi kukutongoza?
Najaribu tu kuweka kumbukumbu vizuri..Hapana Kaboom. Y asking so
Umenifanya nicheke kwa nguvu. Km hapana ufanyeje na km ndio ungefanyeje?Najaribu tu kuweka kumbukumbu vizuri..
Teh Teh.. Nilitaka kujua tuliishia wapi, nisije nikawa narudi stage nilizozivuka tayariUmenifanya nicheke kwa nguvu. Km hapana ufanyeje na km ndio ungefanyeje?
Hujawah aisee. Teh tehTeh Teh.. Nilitaka kujua tuliishia wapi, nisije nikawa narudi stage nilizozivuka tayari
Ha haa nilitaka nikuchokoze ila ngoja nikusamehe tuNawe pia wifiiii
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji85]Ha haa nilitaka nikuchokoze ila ngoja nikusamehe tu
Basi jipangeHujawah aisee. Teh teh
Wewe una vituko kweli[emoji38] nia yako nisipewe hela ya matumiz na mr.Basi jipange
Anaanzaje kukunyima sasa.. Next week nakuja Ar.UnipokeeWewe una vituko kweli[emoji38] nia yako nisipewe hela ya matumiz na mr.
Tena hapa ulivyosema hivyo nitatumiwa msg kuwa nachukua likizo next weekAnaanzaje kukunyima sasa.. Next week nakuja Ar.Unipokee
Na nani tena?Tena hapa ulivyosema hivyo nitatumiwa msg kuwa nachukua likizo next week
Mr jmnNa nani tena?
Yani Mr ana wasiwasi hata kwa kijana mlokole Kama mimi.. Mwambie aache hizo banaMr jmn
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] umeuaaaaaYani Mr ana wasiwasi hata kwa kijana mlokole Kama mimi.. Mwambie aache hizo bana