Kaboom
JF-Expert Member
- Nov 6, 2011
- 10,828
- 15,001
Hakuna kitu bro..Ni porojo za jamvini tu..Huku kwetu mi ni mzee Wa kanisaSina uzoefu mkuu maana mimi sijawahi kufanya, labda utupe uzoefu wako!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna kitu bro..Ni porojo za jamvini tu..Huku kwetu mi ni mzee Wa kanisaSina uzoefu mkuu maana mimi sijawahi kufanya, labda utupe uzoefu wako!
Hakuna kitu bro..Ni porojo za jamvini tu..Huku kwetu mi ni mzee Wa kanisa
Cc BADILI TABIA & Paulo Sergio de souzSawa mzee wa kanisa, umenikumbusha leo tuna mkesha kanisani kwetu pia na mama mchungaji Evelyn Salt.
Bora umelitambua hiloooo ha haaaaMapenz Raha Sana ukiplmpata akupendae Kwa dhati.. Nami natamani Sana nifanye vice versa Kwa mrembo flan humu[emoji8] ..lakin hanitaki[emoji24].
Simlaumu yeye Bali ninamlaumu Yule aliemfanya awaone wanaume wote ni washenzi.
Paulo kabadili ID [emoji85]Cc BADILI TABIA & Paulo Sergio de souz
Evelyn Salt BADILI TABIA Raimundo mna taarifa hizi?Paulo kabadili ID [emoji85]
Usiniulize anatumia ID gani pls
ndo maana simuoni!Paulo kabadili ID [emoji85]
Usiniulize anatumia ID gani pls
Yupooooo kajaa tele.ndo maana simuoni!
kaacha kile kiingereza chakeYupooooo kajaa tele.
Nilimshtukia kama wiki 1 iliyopita.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Jamani... nipeni link ya thread(s) (ze)yenye ugomvi wao.
Otherwise nawatakieni kila lakheri wahusika..
Ndoa yenu idumu kama zilivyo za wanasiasa...
Na wala isijaribu kufuata mkondo wa ndoa za wasanii..(Kudumu ni nadra sana)
Nitakuwa na la kujifunza mkuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimecheka sana hapo ulipoomba link ya thread za ugomvi wetu..
Daaahh wala sitamani uone Mkuu maana utajiuliza umetokea muujiza gani mpaka tumekuwa soulmates sasa.. Huo ugomvi ulikuwa balaaa [emoji17] [emoji1]
mi namjua id yake sijui atakua kaharibu make sijamhoji kwa kina namtafutia muda
Wamefanyaje... Nifa njoo mbio mdogo WA mie ushapigwa ndoa kimyakimya mmmhCelebrity wa JF Mkuu au nawe una wivu kama mimi?
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Mimi na uzee wangu siwezi kukubaliii
[emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] na mimi nimetulizwa humuhumu nimetulia tuliii viva jf[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hatari sana shehe.! Unajikuta mtoto mzuri umemuelewa ila unashindwa hata umuanze na gia gani coz ni maadui wa kubwa kiasi kwamba hata salamu yako haitaki hahahahhaha