Hakyamama nawaonea wivu The Bold & Nifah

Mapenz Raha Sana ukiplmpata akupendae Kwa dhati.. Nami natamani Sana nifanye vice versa Kwa mrembo flan humu[emoji8] ..lakin hanitaki[emoji24].

Simlaumu yeye Bali ninamlaumu Yule aliemfanya awaone wanaume wote ni washenzi.
Bora umelitambua hiloooo ha haaaa
 
Jamani... nipeni link ya thread(s) (ze)yenye ugomvi wao.
Otherwise nawatakieni kila lakheri wahusika..
Ndoa yenu idumu kama zilivyo za wanasiasa...
Na wala isijaribu kufuata mkondo wa ndoa za wasanii..(Kudumu ni nadra sana)
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Nimecheka sana hapo ulipoomba link ya thread za ugomvi wetu..

Daaahh wala sitamani uone Mkuu maana utajiuliza umetokea muujiza gani mpaka tumekuwa soulmates sasa.. Huo ugomvi ulikuwa balaaa [emoji17] [emoji1]
 
Nitakuwa na la kujifunza mkuu
 
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]

Hatari sana shehe.! Unajikuta mtoto mzuri umemuelewa ila unashindwa hata umuanze na gia gani coz ni maadui wa kubwa kiasi kwamba hata salamu yako haitaki hahahahhaha
[emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] [emoji173] na mimi nimetulizwa humuhumu nimetulia tuliii viva jf
 
Back
Top Bottom