Wacha weeeh!!Teh stay tuned. ...
Kumbe he still hv days!!Mmmh sio kwa uchumba sugu huu. Sijui he is doing his PHD in HS!!! Naona siwi upgraded kabisa, na ahadi hewa zake kama mwanasiasa. His days are numbered khaa
Hahahahahaaaaa kwakweli Twin tutaandamana.Mmmh sio kwa uchumba sugu huu. Sijui he is doing his PHD in HS!!! Naona siwi upgraded kabisa, na ahadi hewa zake kama mwanasiasa. His days are numbered khaa
Khaaaaaaaa mimi mbona Bold ni wa huku JF na ni wa ukweli ukweliiii?Benny mshika mapembe tu, naongelea wa ukweli ukweli, kwakweli long live jf!!
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hamna huyo ni wa hukuhuku tu hawavuki mipaka, sio kama wewe na shemela.Khaaaaaaaa mimi mbona Bold ni wa huku JF na ni wa ukweli ukweliiii?
Hahahahahaaaaa so HS na Benny I think ni kweli pia.
Absolutely... Long live JF!
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji87] [emoji87] [emoji87]Hamna huyo ni wa hukuhuku tu hawavuki mipaka, sio kama wewe na shemela.
Ndio maana namwambia afanye mambo sasa.
Tobaaaaaaaaaaa. Mbona kunitafutia mabalaaKhaaaaaaaa mimi mbona Bold ni wa huku JF na ni wa ukweli ukweliiii?
Hahahahahaaaaa so HS na Benny I think ni kweli pia.
Absolutely... Long live JF!
Benny mshika mapembe tu, naongelea wa ukweli ukweli, kwakweli long live jf!!
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Hahaha zimebaki 2Wacha weeeh!!
Kumbe he still hv days!!
Ananizibia fursa bana, while hafanyi mambo tehHahahahahaaaaa kwakweli Twin tutaandamana.
Benny afanye kitu sasa... Our HS deserves a lot bhana.
Hahah em niache tu nizeeke kwa amani.Sasa watoto wadogo akina Nifah wanakupiga gape hivihivi!! Usikubali bwana.
Toooba!! Tumeanza vifungu tena[emoji134] [emoji134] [emoji134]Hahah em niache tu nizeeke kwa amani.
Mathayo 6: 33 . [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji85] [emoji85]. Yani hiyo siku ya kukuletea mkweo hehehToooba!! Tumeanza vifungu tena[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Nitanunaaa!! Maana najua mwanzo wa kuongea ndani mwenyewe umeanza![emoji85] [emoji85]. Yani hiyo siku ya kukuletea mkweo heheh
Ushindwe mama KumbenaNitanunaaa!! Maana najua mwanzo wa kuongea ndani mwenyewe umeanza!
Bora tuendelee kubaki hivi hivi[emoji12] [emoji12] [emoji12]Ushindwe mama Kumbena
Weee nijikute tuBora tuendelee kubaki hivi hivi[emoji12] [emoji12] [emoji12]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] Mpaka Pete ya uchumba imepauka na kupwayaMmmh sio kwa uchumba sugu huu. Sijui he is doing his PHD in HS!!! Naona siwi upgraded kabisa, na ahadi hewa zake kama mwanasiasa. His days are numbered khaa
Yani ile English gold imepauka kama Karai[emoji2] [emoji2] [emoji2] Mpaka Pete ya uchumba imepauka na kupwaya
Hahaha bhaaas hakuna kitakachondelea ukiona mungu kuwekwa Kati kwishaaaToooba!! Tumeanza vifungu tena[emoji134] [emoji134] [emoji134]