Hakyamama nawaonea wivu The Bold & Nifah

Acha The bold ang'amue mtoto mzuri wa Kimasai. Naona sasa hivi wamebadilishana Avatar,yule kaweka ya yule n vice versa.

Dada yangu Nifah usisahau kunialika kunako harusi.
Mapenz Raha Sana ukiplmpata akupendae Kwa dhati.. Nami natamani Sana nifanye vice versa Kwa mrembo flan humu[emoji8] ..lakin hanitaki[emoji24].

Simlaumu yeye Bali ninamlaumu Yule aliemfanya awaone wanaume wote ni washenzi.
 
Jamaa anastahili kuwaonea wivu Aiseee... Hata me nimeshikwa na Wivu ghafla [emoji12]
 
Akyamama naumia. Natamani nkuamishe nchiii
 
Deep!

Allah awabariki mpate kufikia lengo lenu. .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…