Castr
JF-Expert Member
- Apr 5, 2014
- 35,012
- 70,201
Si mchezo Bi Nifah na shela lake ndugu yangu upo ndani ya single button wote tunajikuta central...Hahahahaha dakika sifuri tu unashangaa difenda hiyo imekuja kuwachukua wageni waalikwa..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Si mchezo Bi Nifah na shela lake ndugu yangu upo ndani ya single button wote tunajikuta central...Hahahahaha dakika sifuri tu unashangaa difenda hiyo imekuja kuwachukua wageni waalikwa..
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Si mchezo Bi Nifah na shela lake ndugu yangu upo ndani ya single button wote tunajikuta central...
HahahahaSi mchezo Bi Nifah na shela lake ndugu yangu upo ndani ya single button wote tunajikuta central...
HahahahaWazo zuri ila naomba tusherehekee humu humu huko tutaenda kukusanywa kama kuku wenye mdondo.
Mapenz Raha Sana ukiplmpata akupendae Kwa dhati.. Nami natamani Sana nifanye vice versa Kwa mrembo flan humu[emoji8] ..lakin hanitaki[emoji24].
Jamaa anastahili kuwaonea wivu Aiseee... Hata me nimeshikwa na Wivu ghafla [emoji12]Wooooww.!! Thank you so much wakuu..
Hahahaha roboti la matope eti roho inakuuma [emoji23] [emoji23]
Wakuu, inawezekana wengi hatufahamiana nje ya JF but wote humu tumekuwa kama familia.. And "on behalf of my self" na mrembo Nifah niseme shukrani kwenu wanafamilia wenzetu wote mnaotutakia kheri..
Ni vile tu tunalinda privacy yetu na kuepuka kujiexpose but natamani mda mwingine kuweka wazi ulimwengu mzima ujue kiasi gani tuko deep and serious about this.. Sio ili "kushow off", hapana ni vile finally ukipata soulmate ambaye you have been dreaming kumpata your whole life.. You wish you could scream for the whole world to know..
Kwa dhati kabisa, tunaomba sana maombi yenu, maana mimi na bibie sote ni vijana na kama vijana tuna "changamoto" nyingi, na mahusiano yoyote haijalishi mnapendana kiasi gani lakini lazima kitatokea kipindi cha magumu na mahusiano yenu kujaribiwa.. Mtuombee tuwe na moyo mkuu, hata ikitokea tukifarakana tukumbuke how much we love each other ili tuweze kushinda changamoto na vita zote zilizo mbele yetu na hatimaye tufikie lile lengo tulilonalo mioyoni mwetu..
Again, niwashukuru wote wenye kututakia kheri na kutuombea roboti la matope, Heaven Sent, Compact, samsun, UncleBen, Azarel, Valentina na wanafamilia/wanachama wote wa JamiiForum..
Tunawapenda sana!
# TheBold's
Akyamama naumia. Natamani nkuamishe nchiiiWooooww.!! Thank you so much wakuu..

[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Akyamama naumia. Natamani nkuamishe nchiii
Hahahahah fanya mipango bwana kwa yule mrembo.. Mbadilishe moyo aache kuwachukia wanaume [emoji12]Jamaa anastahili kuwaonea wivu Aiseee... Hata me nimeshikwa na Wivu ghafla [emoji12]
Deep!Wooooww.!! Thank you so much wakuu..
Hahahaha roboti la matope eti roho inakuuma [emoji23] [emoji23]
Wakuu, inawezekana wengi hatufahamiana nje ya JF but wote humu tumekuwa kama familia.. And "on behalf of my self" na mrembo Nifah niseme shukrani kwenu wanafamilia wenzetu wote mnaotutakia kheri..
Ni vile tu tunalinda privacy yetu na kuepuka kujiexpose but natamani mda mwingine kuweka wazi ulimwengu mzima ujue kiasi gani tuko deep and serious about this.. Sio ili "kushow off", hapana ni vile finally ukipata soulmate ambaye you have been dreaming kumpata your whole life.. You wish you could scream for the whole world to know..
Kwa dhati kabisa, tunaomba sana maombi yenu, maana mimi na bibie sote ni vijana na kama vijana tuna "changamoto" nyingi, na mahusiano yoyote haijalishi mnapendana kiasi gani lakini lazima kitatokea kipindi cha magumu na mahusiano yenu kujaribiwa.. Mtuombee tuwe na moyo mkuu, hata ikitokea tukifarakana tukumbuke how much we love each other ili tuweze kushinda changamoto na vita zote zilizo mbele yetu na hatimaye tufikie lile lengo tulilonalo mioyoni mwetu..
Again, niwashukuru wote wenye kututakia kheri na kutuombea roboti la matope, Heaven Sent, Compact, samsun, UncleBen, Azarel, Valentina na wanafamilia/wanachama wote wa JamiiForum..
Tunawapenda sana!
# TheBold's
Haha haha haha haha
Asante Kwa kuona fursaaa
Wanakutamanisha eeh
Shukrani sana Honey Faith..Hongereni sana wapendwa naamini sitakosa kadi ya mwaliko