Hakyamama nawaonea wivu The Bold & Nifah

Kwa hiyo yule mchuchu wake umemzidi kete sio hongera bana
 
Mungu akisema YES Hakuna la zaidi Mkuu ...hata mngepigana makofi but hiyo Ndio iliyokuwa njia yakuwaunganisha. Everything has a great reason, hatujui tu.
 
Watu wanataka uwaelezee hii mbinu yako ya ku-creaty uadui then ukazaa mapenzi waitumie kukamata watoto wazuri JF
 
Wazo zuri ila naomba tusherehekee humu humu huko tutaenda kukusanywa kama kuku wenye mdondo.
[emoji15] [emoji15] ..... Toba.....[emoji87] [emoji87] [emoji87]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Kwanini mkuu,ushawahi kuharibu nini .....??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…