Hapana ndugu yangu sio mimi ,Pole sana kwa Ben Inshalah atapatikana tuAsante sana ndugu yangu. Na wewe pia.
Kipindi cha kati hapa umepotea sana kijana.
Mpaka nikadhani kuwa wewe ni class met wangu wa Galanos. Ben saanane.
Bora, mzima lkn!!!Teh hakuwepo
Sijaliona...itabidi ulilete kwa mikono yako...box nililokutumia umeliona?
Elli79 alishindwa kuhudumia mkuuHaha haya mabadiliko mbona kama sielewi ? Patience123 alikuwa kwenye mikono salama ya Eli79 ,wewe umetokea wapi tena
Sijaliona...itabidi ulilete kwa mikono yako...
Hahahaha! Shukrani kiongozi..
Mzima kabisa, sijui weweBora, mzima lkn!!!
Nakusubiri kwa hamu eti....Ngoja nije...
Haiwezekani ingekuwa miss changa hapo ningeelewa ila kwa dada yangu Patience123 unamuonea bure hana shida za hivyo ni mvumilivu huyu kwa kila hali unaishi nayeElli79 alishindwa kuhudumia mkuu
Unabanwa na nani kuwa open kama NiffahNabanwa[emoji28]
HahaUnabanwa na nani kuwa open kama Niffah
Pm sikupatiNakusubiri kwa hamu eti....
Hafi kipa wala beki, umeamua kutoa [emoji23][emoji23]mkuu avatar tu unaona wivu njoo tubadilishane
Hao lazima waelewane mkuu mmoja stori zake za kijasusi na mmoja stori za Ubuyu tu.πππ
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wadudu kunuka mnataka kuingilia kati hahaha
Dah hivi ile familia yetu ya humu Jf bado ipo Alwatan GENTAMYCINE ? Mussolini yupo wapi ...dada huyooo anaolewaaaNa hivi Bibie alivyo mwembamba na Modo kama nakuona vile Mkuu unavyousokomeza Mchi kunako Kinu cha Nungwi.
Ngoja nichunguliePm sikupati
Kwani wameshaanza kudonyoana??
We Nifah umeshakuwa popoma siku hizi? Hata kunialika kaka yako??
Hii couple Mungu azidi kuwapa kicheko cha furaha....
Mungu awazidishie upendo kila siku za maisha yao.
Asanteni wapendwa.