UncleBen
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 9,673
- 12,265
Hapana ndugu yangu sio mimi ,Pole sana kwa Ben Inshalah atapatikana tuAsante sana ndugu yangu. Na wewe pia.
Kipindi cha kati hapa umepotea sana kijana.
Mpaka nikadhani kuwa wewe ni class met wangu wa Galanos. Ben saanane.