Hakyamama nawaonea wivu The Bold & Nifah

Hafi kipa wala beki, umeamua kutoa [emoji23][emoji23]
[emoji12] [emoji13] [emoji12] [emoji13] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]

Kumbe nawe ulimsomaaa?

Maandishi yana impact kuliko matamshii
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] wadudu kunuka mnataka kuingilia kati hahaha
Huyo Dada ananifurahisha kwa uwezo wake wa kuchambua mambo mpaka nahisi huyu jamaa yetu atakua anachambuliwa kama karanga
 
Haiwezekani ingekuwa miss changa hapo ningeelewa ila kwa dada yangu Patience123 unamuonea bure hana shida za hivyo ni mvumilivu huyu kwa kila hali unaishi naye
Mkuu ke ni sawa na gari, ili ulifurahie matunzoni muhimu, sasa huyu ex shemu wako ni mbahili sana kiasi cha dadako kukosa hata nguo na isitoshe jamaa ana wake 5, hivyo nilofanikiwa kuteka moyo wake na sasa nammiliki na kachanua kwa upyaaa
 
Aaaaaah mimi sikuamini bana ngoja dada yangu atakuja kunieleza vizuri Patience123 ,dada yangu hakosi nguo na hajalelewa kumtegemea mwanaume ,yeye mwenyewe ni mpambanaji
 
Wooooww.!! Thank you so much wakuu..

Hahahaha roboti la matope eti roho inakuuma [emoji23] [emoji23]

Wakuu, inawezekana wengi hatufahamiana nje ya JF but wote humu tumekuwa kama familia.. And "on behalf of my self" na mrembo Nifah niseme shukrani kwenu wanafamilia wenzetu wote mnaotutakia kheri..

Ni vile tu tunalinda privacy yetu na kuepuka kujiexpose but natamani mda mwingine kuweka wazi ulimwengu mzima ujue kiasi gani tuko deep and serious about this.. Sio ili "kushow off", hapana ni vile finally ukipata soulmate ambaye you have been dreaming kumpata your whole life.. You wish you could scream for the whole world to know..

Kwa dhati kabisa, tunaomba sana maombi yenu, maana mimi na bibie sote ni vijana na kama vijana tuna "changamoto" nyingi, na mahusiano yoyote haijalishi mnapendana kiasi gani lakini lazima kitatokea kipindi cha magumu na mahusiano yenu kujaribiwa.. Mtuombee tuwe na moyo mkuu, hata ikitokea tukifarakana tukumbuke how much we love each other ili tuweze kushinda changamoto na vita zote zilizo mbele yetu na hatimaye tufikie lile lengo tulilonalo mioyoni mwetu..

Again, niwashukuru wote wenye kututakia kheri na kutuombea roboti la matope, Heaven Sent, Compact, samsun, UncleBen, Azarel, Valentina na wanafamilia/wanachama wote wa JamiiForum..

Tunawapenda sana!

# TheBold's
Awwwwwwww hakika sikufanya makosa.
Sio kwa speech hii baba,hii ndio raha na kuwa na mwanaume mwenye akili kubwa.
I love being yours [emoji8] [emoji8] [emoji8]

#TheBold's#
 
Aiseeeeee. [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Life is an interesting journey.! Nikikumbuka ile Vita kati yangu na mtoto mzuri, naamini kweli hiki tulichonacho sasa ni mpango wa Mungu.. Maana haiwezekani kabisa kwa akili za kibinadamu maadui wakubwa kiasi kile leo hii kuogelea kwenye mapenzi mazito kiasi hiki [emoji1] [emoji23]
Kama nikuambiavyo kila siku babes,kuna wakati huwa nashindwa kuamini!
Hivi ni kweli I'm in love with The bold?
OMG!
Namshukuru Mungu kwa yote...bora tumeishia hivi kuliko tungeanza hivi kisha tukaishia vile.
Can you imagine ingekuwa viceversa darling?[emoji134]
 
Wooooww.!! Thank you so much wakuu..

Hahahaha roboti la matope eti roho inakuuma [emoji23] [emoji23]

Wakuu, inawezekana wengi hatufahamiana nje ya JF but wote humu tumekuwa kama familia.. And "on behalf of my self" na mrembo Nifah niseme shukrani kwenu wanafamilia wenzetu wote mnaotutakia kheri..

Ni vile tu tunalinda privacy yetu na kuepuka kujiexpose but natamani mda mwingine kuweka wazi ulimwengu mzima ujue kiasi gani tuko deep and serious about this.. Sio ili "kushow off", hapana ni vile finally ukipata soulmate ambaye you have been dreaming kumpata your whole life.. You wish you could scream for the whole world to know..

Kwa dhati kabisa, tunaomba sana maombi yenu, maana mimi na bibie sote ni vijana na kama vijana tuna "changamoto" nyingi, na mahusiano yoyote haijalishi mnapendana kiasi gani lakini lazima kitatokea kipindi cha magumu na mahusiano yenu kujaribiwa.. Mtuombee tuwe na moyo mkuu, hata ikitokea tukifarakana tukumbuke how much we love each other ili tuweze kushinda changamoto na vita zote zilizo mbele yetu na hatimaye tufikie lile lengo tulilonalo mioyoni mwetu..

Again, niwashukuru wote wenye kututakia kheri na kutuombea roboti la matope, Heaven Sent, Compact, samsun, UncleBen, Azarel, Valentina na wanafamilia/wanachama wote wa JamiiForum..

Tunawapenda sana!

# TheBold's
Mpende kama vile hutapenda tena
 
Back
Top Bottom