Raynavero
JF-Expert Member
- Apr 29, 2014
- 38,378
- 56,047
sana tu mapenzi ndo mtihani unaopewa cheti kabla ya kuhitimuKwema kabisa waendelee na mahabat yao figisu figisu waziepuke mahusiano yana changamoto nyingi kuliko taasisi yoyote duniani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sana tu mapenzi ndo mtihani unaopewa cheti kabla ya kuhitimuKwema kabisa waendelee na mahabat yao figisu figisu waziepuke mahusiano yana changamoto nyingi kuliko taasisi yoyote duniani
Teh haya ujumbe umefikaHaha. Salamu zikufikie pia. Ben yeye abaki 2016.
[emoji23] [emoji23] dharau tena? Unataka niwe nakuhesabia makosa?Dharauuuu[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]
Shemeji kwema huko ? I hope xmass imeisha vizuriUna hamu eeh?
Dota nini kinaendelea hapa?Aiiiiiiiiii, nani kasema?
Douta mbona hivyo..Mbona wamkataa huyu..Sasa nimpe nani,anayejua thamani?
Ntakutafutia basi
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Teh teh..Sitaki kukugombanisha na mama ako..Acha ntatafuta mwenyewe
Ukimvunja hata unywele hilo balaa lake utatamani urudi uzaliwe upya.Huyu mtoto wako akae hukohuko kwa mamake akikaa na mimi nitamvunja miguu bure
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134]Ni chotara wa kisukuma na kichaga
Kwema kabisa shem.Shemeji kwema huko ? I hope xmass imeisha vizuri
[emoji23] [emoji23] [emoji23] bila shaka mkuu, panapo kheri tutakaribia In Shaa Allah.Kila la kheri, ila mambo yanatakiwa yawahishwe bhana, msicheleweshe sana, karibuni kambi hii
Allah awafanyie wepesi, popote mlipo ntahudhuria najua haina kadi kuzamia tu[emoji23] [emoji23] [emoji23] bila shaka mkuu, panapo kheri tutakaribia In Shaa Allah.
Asante sana
#TheBold's#
[emoji23] [emoji23] biti la mbu nje ya netiUkimvunja hata unywele hilo balaa lake utatamani urudi uzaliwe upya.
Karibu nikufundeMfyuuuuuu!!!
Hauoni hayo maloveeeeeRoho isikuume bana
Jaribu ndio utajua kama ni biti au muziki.[emoji23] [emoji23] biti la mbu nje ya neti
Thubutuuuu!!!Karibu nikufunde
In Shaa AllahAllah awafanyie wepesi, popote mlipo ntahudhuria najua haina kadi kuzamia tu