Hakyamama nawaonea wivu The Bold & Nifah

Hakyamama nawaonea wivu The Bold & Nifah

Unakufaa sanaaa, sikupatii picha.
Mmh ntakuwa nimedandia "kusudi". Me nataka muda wote nideke kwa bae, wakati Mchungaji anatakiwa madhabahuni muda mwingi. Kuomba kwenyewe naomba ndani ya shuka 35 secs, huku church nahitajika kuombea huduma na waumini, mbona ntachomwa moto jamani teh
 
Mmh ntakuwa nimedandia "kusudi". Me nataka muda wote nideke kwa bae, wakati Mchungaji anatakiwa madhabahuni muda mwingi. Kuomba kwenyewe naomba ndani ya shuka 35 sec, huku church nahitajika kuombea huduma na waumini, mbona ntachomwa moto jamani teh
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ama kweli wito hamna.
 
Mbona hii avatar ya the bold amevaa Pete ya ndoa tayari [emoji108][emoji108][emoji108][emoji108][emoji104][emoji104][emoji104]
 
Mbona hii avatar ya the bold amevaa Pete ya ndoa tayari [emoji108][emoji108][emoji108][emoji108][emoji104][emoji104][emoji104]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Dada yangu unaleta ushilawadu hadi kwa mdogo wako?
Hiyo haina maana ya ndoa...ya ndoa atavikwa na his favorite, his choice Nifah [emoji4] [emoji108]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Nimecheka sana hapo ulipoomba link ya thread za ugomvi wetu..

Daaahh wala sitamani uone Mkuu maana utajiuliza umetokea muujiza gani mpaka tumekuwa soulmates sasa.. Huo ugomvi ulikuwa balaaa [emoji17] [emoji1]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] nahisi mmefuta!
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] I can see uu!!

chumba kipo mbona hujii Mr DC!!

Ila FLM ilikua tamuuu

Chumba nilighairi uliposema utahama, so hakukuwa na point ya mimi kuja. Unless utabadili wazo la kuhama.

FLM bana, tatizo lake historia, na imejaa misukosuko mingi. DC came across a nice dude, ghost before DC, ghost after DC.
 
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Back
Top Bottom